Habari Kali
Loading...

Marekani yatuhumiwa kufuatilia kwa siri mawasiliano ya simu ya mkononi ya kansela wa Ujerumani...

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Kwenye headlines za dunia sasa hivi miongoni mwa stori kubwa ni hii ya madai ya Ujerumani kwamba Marekani imekua ikifatilia kwa siri mazungumzo ya simu ya kiongozi wa Ujerumani,  Kansela Angela Merkel ambapo kwa mujibu wa DW Swahili, Ujerumani imemuita balozi wa Marekani nchini humo John B. Emerson kuzungumzia madai  hayo ya Idara ya usalama wa kitaifa ya Marekani kuyafatilia mawasiliano ya simu ya mkononi ya kansela.

Habari  hii  imekuja wakati Merkel na viongozi wengine wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kwa mkutano ambao unaonekana utagubikwa na habari za mawasiliano ya siri yanayodaiwa kufanywa na Marekani kwa washirika wake ambapo waziri wa ulinzi wa Ujerumani, Thomas de Maiziere aliliambia shirika la habari la ARD  Ujerumani kwamba iwapo madai haya yatathibitishwa kuwa ya kweli basi litakuwa ni jambo baya sana.

De Maiziere amesema Marekani itabakia kuwa rafiki wa Ujerumani lakini jambo linalodaiwa kufanywa sio sahihi kabisa baada ya kupokea taarifa kwamba Marekani ilifatilia mawasiliano ya kansela Angela Merkel , hatua iliomfanya Merkel mwenyewe Jumatano kumpigia simu mara moja rais wa Marekani Barack Obama kutaka ufafanuzi zaidi kwa sababu aliamini kuna siku mawasiliano yake yatafatiliwa lakini sio na Marekani.
 

Baada ya haya madai ya Ujerumani, Marekani imekanusha kwa kusema haijayachunguza mawasiliano ya Kansela na haiwezi kufanya hivyo kamwe.  
  
Haya madai yalitolewa kwa mara ya kwanza na mfanyakazi wa zamani wa idara ya kitaifa ya usalama nchini Marekani, NSA, Edward Snowden yaliyochapishwa na jarida la habari la Ujerumani, Der Spigel na sasa yameanza kuleta uhusiano mbaya kati ya Marekani na mataifa ya Ulaya yaliyokasirishwa na habari hizo za kufanyiwa uchunguzi wa siri na mshirika wao.
 

Mpaka usiku wa October 24 2013, taarifa mbalimbali ziliripoti kwamba mpaka sasa imefahamika ni viongozi wa  nchi 35 kubwa wameshafatiliwa kwenye mawasiliano yao ya simu za mkononi bila wenyewe kufahamu.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top