Habari Kali
Loading...

HUYU NDIO MSANII WA MAIGIZO ALIYETELEKEZEWA MTOTO NA MPENZI WAKE...!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MSANII chipukizi wa maigizo nchini, Calvin Ponella anayeshiriki Tamthiliya ya Millosis inayoendelea katika Runinga ya TBC 1, ametelekezewa mtoto wa kike aitwaye Naomi na  mzazi mwenzake aitwaye Diana.
 
 Calvin Ponella.
Habari kutoka kwa mpashaji wetu, zinasema Diana aliamua kumbwagia Calvin mtoto wake kutokana na kupishana Kiswahili. “Jamaa anahaha na mtoto mitaani. Mtoto mwenyewe ni mdogo, hebu fikiria ana mwaka mmoja na nusu tu, halafu ni wa kike, atawezaje kumlea mwenyewe?

Hivi ninavyozungumza na wewe suala lao limefikishwa Ustawi wa  Jamii hapa Morogoro,” kilipasha chanzo chetu.
Paparazi wetu alifunga safari hadi zilipo Ofisi za Ustawi wa Jamii, mjini hapa na kufanikiwa kumkuta msanii huyo akiwa na mtoto wake, baada ya kufikisha shauri hilo katika chombo hicho cha kutetea masilahi ya jamii.
Akizungumza na Ijumaa, mmoja wa maofisa wa Ustawi wa Jamii aliyejitambulisha kwa jina la Mama Mkapa alisema ni kweli shauri hilo limefika mikononi mwake lakini wamelimaliza kwa njia ya mazungumzo bila kufafanua zaidi.
Kwa upande wake Calvin alisema: “Hii ishu  inanitesa sana, ni kweli kuna tofauti kidogo na mwenzangu lakini hatua aliyoichukua ni kubwa sana. Najipanga kwenda kumuangukia ili tuyamalize.


Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top