Habari Kali
Loading...

KAGAME NA WENZAKE WAANZA KUANDAMWA EAC...

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
WABUNGE wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wanayoiwakilisha Tanzania, wamezitaka nchi wanachama katika jumuiya hiyo kuheshimu mkataba wa kuanzishwa kwake.

 Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika Jumuiya hiyo Adam Kimbisa na Katibu wake Shy-Rose Bhanji ,walisema kwamba,"Jambo la msingi ambalo hata mkataba wa uanzishwaji wa Jumuiya imesema wazi kwamba, Jumuiya lazima iwe ni ya wananchi,kwa manufaa ya wananchi (People Centred integration) na isiwe ya viongozi, wananchi washirikishwe katika kila hatua na kila ngazi ili waweze kushiriki kikamilifu kwa ajili ya maslahi yao.



Mwenyekiti wa Wabunge wa Afrika Mashariki kwa wabunge wa Tanzania,Adam Kimbisa,(kulia) akifafanua jambo,kushoto kwake ni Katibu wake Shy-Rose Bhanji,wakati wa mkutano wa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.Picha na Jackson Odoyo.


Nchi hizo za Rwanda,Kenya na Uganda ambazo zinamipango ya kujitenga na EAC na kuunda Jumuiya yao tayari zimefanya mikutano mitatu bila kuzihusisha Tanzania na Burundi ambayo pia ni wanachama wa EAC, mkutano wa kwanza ulifanyika mjini Entebbe nchini Uganda Juni 24 na 25 2013, wapili ukafanyika mjini Mombasa nchini Kenya Agast 28 2013 na watatu ukafanyika Kigali Rwanda, oktoba 28 mwaka 2013,"alisema Kimbisa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top