Habari Kali
Loading...

MAJANGA...!! AKATWA SEHEMU ZA SIRI AKIWA AMELALA CHUMBANI KWA SHEMEJI YAKE...SOMA HAPA KWA TAARIFA KAMILI..

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >



Mtu mmoja Mkazi wa Kijii cha Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi Mwami M wanalusi (31) amekatwa na kisu katika sehemu zake za siri na watu wasiojurikana wakati akiwa amelala ndani ya nyumba ya shemeji yake.

Kamanda wa Polisi wa  Mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari alisema tukio hilo lilitokea hapo jana majira ya saa nane usiku nyumbani kwa shemeji yake.

Alisema siku ya tukio  Mwami  alikuwaameenda  kumtembelea  shemeji yake aitwaye  Anset  Kapampala (36) ambae alikuwa akiishi katika kijiji hicho cha Majimoto.

Baada ya mlo wa usiku mwenyeji wake alimuonyesha chumba cha kulala ambacho hata hivyo hakikuwa na godoro wala kitanda bali kulikuwa na Benchi la kupumzikia ambalo shemeji yake ambae ni mwenyeji wake alimweleza Benchi hilo ndilo alitumie kama kitanda cha kulalia kutokana na hari yake ya kiuchumi kutokuwa nzuri.

Alisema wakati Mwami yuko ndani ghafla walitokea watu asio wafahamu ambao waliingia ndani ya chumba hicho  na wala hawakumsemesha chochote hari ambayo ilimfanya ashikwe na butwaa 
Alieleza ndipo watu hao walipo anza kumkata kwa kisu sehemu zake za ume hadi ume ukawa umeharibika vibaya  na kisha watu hao wakatokomea kusiko julikana  na kumfaya yeye apige mayowe  ambapo shemeji yake  ambae alikuwa amelala kwenye nyumba yake nyingine  alishituka na ndipo alipoingia ndani na kumkuta mgeni wake akiwa ameharibiwa vibaya sehemu zake za siri
Kamanda Kamanda Kidavashari alisema chanzo cha tukio hilo  bado hakijulikana  na polisi wanaendelea na epelelezi ili kuwabaini  na kuwakamata waliohusika ili sheria  ichukuwe mkondo wake. 

Tukio Rasmi katika picha linakuja.,..


source:Walter Mguluchuma-Katavi yetu Blog
Mpanda Katavi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top