Habari Kali
Loading...

MWANAFUNZI AUAWA KWA KUTUHUMIWA KUIBA MAANDAZI JIJINI MBEYA...

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MWANAFUNZI mmoja ameuawa kwa kipigo na mwili wake kutupwa kichakani akituhumiwa kuiba maandazi. Mwanafunzi huyo (jina limehifadhiwa) alikuwa akisoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Nyakadete, iliyopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Robert Mayala, alidai kuwa mwanafunzi huyo mkazi wa Kijiji cha Nyanyembe Kata ya Madibira, aliuawa kwa kupigwa na kisha mwili wake kutupwa vichakani akituhumiwa kuiba maandazi.
Kamanda Mayala alidai mwili wa mwanafunzi huyo ulikutwa Jumatatu saa 4:00 asubuhi, ukiwa kichakani katika Kijiji cha Unyanyembe Nyamakuyu Kata ya Madibira.
Kutokana na tukio hilo, polisi wanamshikilia Edmund Kwinge (30) mkazi wa Kijiji cha Nyakadete, akituhumiwa kuhusika na mauaji ya mwanafunzi huyo na atafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top