Habari Kali
Loading...

Al Shabaab washambulia Mogadishu…!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari limelipuka nje ya hoteli katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Polisi wanasema watu wanne wamejeruhiwa katika shambulizi hilo.
Gari lililokuwa limeegeshwa kando ya barabara likiwa na mabomu yaliyotegwa ndani lililipuka karibu na hoteli ya Maka-al-Mukarama kati kati mwa Mogadishu.
al shaAl Shabaab wametimuliwa kutoka Mogadishu ingwa wanaendeleza mashambulizi ya kuvizia
Maafisa wa serikali walikuwa ndani ya hoteli wakati wa shambulizi hilo.
Msemaji wa serikali amesema kuwa shambulizi hilo lilifanywa na kundi la wanamgambo la Al Shabaab kama jibu lao kwa operesheni mpya iliyozinduliwa juzi na wanajeshi wa Muungano wa Afrika pamoja na majeshi ya Somalia dhidi ya wanamgambo hao.
Wanajeshi hao wamefanikiwa kukomboa miji sita kutoka kwa Al Shabaab katika siku chache zilizopita. Kundi hilo linadhibiti sehemu kubwa ya Kusini na eneo la Kati mwa Somalia.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top