Habari Kali
Loading...

Ukatili…Albino aua mwanawe na kumchuna ngozi….!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
POLISI mkoani Singida inawashikilia wanawake wawili, mmoja wao akiwa mlemavu wa ngozi `albino’, kwa tuhuma ya kuua na kumchuna ngozi mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela aliwataja wanaoshikiliwa kuwa ni Hidaya Omari (20), ambaye ni albino na ni mama wa mtoto aliyeuawa na Neema Paulo (35) ambaye ni mama wa Hidaya.
kamanda-kamwela15_300_172Kamanda wa polisi mkoa wa singida,Geofrey Kamwela
Watuhumiwa wote ni wakulima na wakazi wa Kijiji cha Nkalankala, Kata ya Mwanga, Tarafa ya Nduguti Wilaya ya Mkalama mkoani Singida.
Kwa mujibu wa Kamanda Kamwela, tukio hilo lilitokea saa 1.30 asubuhi Machi 13, mwaka huu kijijini hapo ambapo mwili wa mtoto huyo ulikutwa ndani ya kisima cha maji chenye kina cha mita moja ukiwa unaelea.
Alisema kuwa uchunguzi wa awali wa Polisi ulibaini kuwa kabla ya mtoto huyo kuuawa, alinyongwa shingo yake, kisha kuchunwa ngozi katika sehemu zake za siri na kutumbukizwa ndani ya kisima hicho.
Kamanda Kamwela alisema kuwa chanzo cha mauaji hayo kinaweza kuwa ni imani za kishirikina na kwamba mara baada ya uchunguzi kukamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top