Habari Kali
Loading...

HAYA NDO MAJANGA YALIYOMKUTA KALA JEREMIAH MWAKA HUU KATIKA TUZO ZA KMTA 2014

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mshindi wa tuzo kadhaa za muziki za Tanzania (KTMA 2013), Kala Jeremiah ambaye mwaka huu jina lake halikutajwa katika vipengele vyote vya kuwania tuzo hizo ametoa mtazamo wake kuhusu kutotajwa kwake.

Rapper huyo wa Rock City Mwanza amesema kuwa moyo wake uko sawa na anaona kila kitu kiko sawa na kwamba hana hata swali. 
“Yaani mimi sijui nikoje, nimezaliwa tofauti sana nadhani na binadamu wengine. Yaani ni mtu fulani wa ajabu sana, naonaga 

kila kitu kiko sawa. Moyo wangu uko tofauti sana, sina tatizo lolote yaani sijui nikwambieje…yaani niko very comfortable na naona ni sawa kabisa sina swali sina chochote kwenye moyo wangu niko vizuri. Naona ni Mungu aliniumba vizuri sana hivi nilivyo kwa sababu kila kitu nakichukulia fresh.” Kala Jeremiah aliniambia Tovuti ya Times Fm. 
Ameeleza kuwa anaona watu walioingia walistahili kuingia na kwamba hata mwaka jana hakuwa anatarajia kuingia kwenye vipengele hivyo na hata kushinda, kwa hiyo hata mwaka huu pia alikuwa hatarajii chochote. 
“Ndio maana nilipotajwa mwaka jana nikashtuka na hata nilipopata tuzo pia nikashtuka. Yaani kila kitu mi nadhani kinatakiwa kije chenyewe kwa sababu ukikifikiria kitu…mi naona hata kukifikiria kitu na kupanga eti itakuwa hivi au itakuwa hivi, 

no. Sidhani kama hiyo ni njia sahihi, njia sahihi mimi naona ni kufanya kazi nzuri na kuacha watu wafurahi na kazi zako.” Ameongeza rapper huyo wa Wale Wale. 
Kala ameeleza kuwa hata wakati anashiriki mashindano ya BSS hakuwa na wasiwasi wa kuendelea ama kutoendelea na mashindano kwa kuwa kwake yeye huona kila kinachotokea katika hali hiyo ni sawa. 
Wimbo wa Dear God uliotayarishwa na Dee Classic ulimpa tuzo tatu muhimu mwaka jana ikiwa ni pamoja na tuzo kubwa ya wimbo bora wa mwaka. Alishinda pia tuzo ya msanii bora wa hip hop akiwabwaga Fid Q, Joh Makini, Profesa Jay na Stamina. 
Kala aliitoa tuzo ya wimbo bora wa hip hop na kumkabidhi mama yake Albert Mangwea kwa heshima na kumuenzi rapper huyo aliyefariki May 28 mwaka jana nchini Afrika Kusini.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top