Ukisikia maajabu makubwa ambayo hufikirii kukutana nayo hapa duniani
hii ni moja wapo, Kuna mbuga moja ya kufugia nyoka wakubwa inatoa huduma
ya “massage” kwa binadamu kwa kutumia nyoka hao “giant pythons” lakini
kabla ya kuanza zoezi hilo nyoka hao hulishwa kuku ambao idadi yao
hufikia 10 ili wasije kusikia njaa katikati ya shughuli hiyo.
Nyoka hao wana uzito wa kilo 250 na mtu anayefanyiwa massage anaweza
kupiga kelele au hata kupumua bila nyoka hao kufanya chochote.
Unaweza
usifikirie kama kuna kitu kama hiki kinafanyika lakini mbuga hii
iliyopo katika mji wa Cebu nchini Ufilipino inapata wateja wengi sana
wakipanga foleni kusubiri huduma ya kukandwa mwili “Massage” ambayo
hutolewa bure lakini kwa wanaoweza tu kuhimili mikiki yake.
Nyoka hao wakubwa wanne waliopewa majina ya Michelle, Walter, EJ and
Daniel hutolewa nje kutoka kwenye eneo wanapofugwa na kuwekwa juu ya mtu
anayetaka huduma huyo wakati mtu huyo akiwa amelala chini kwenye
kitanda maalum karibu na lango kuu la kuingilia katika mbuga hiyo.
Watu wengi wanashangazwa na mbuga hii na huduma inayotolewa sasa jiulize unaweza kufanya hivyo hata kama una uchovu kiasi gani?
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >