Leo ni kumbukumbu ya vifo vya wanamuziki wa 5 Star ambayo chanzo cha vifo hivyo ni ajali ya basi aina ya Coaster iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE iliyokuwa imebeba wanamuziki wa bendi hiyo ya Taarabu ya 5 Star wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini Dar.
Ajali hiyo ilitokea March 21 2011 majira ya saa 2 usiku ndani ya hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani Morogoro baada ya gari hilo kuligonga kwa nyuma roli aina ya Scania lililokuwa na namba za usajili T 848 APE ambalo lililikua linavuta tela lenye namba za usajili T 559 BDL liliokuwa na mzigo wa mbao.
Sasa ikiwa ni miaka 3 tangu kifo hicho Hammer Q miongoni mwa abiria waliyokua na basi hilo akashukia Iringa ameandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Facebook leo March 21 2014.
-MILLARD AYO
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >