Habari Kali
Loading...

KIFUNGO MIAKA MITATU JELA BAADA YA KUMNYANYASA MTOTO

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MWANAMKE Mwanahawa Nassoro(32) Mkazi wa Mtaa wa Airport jijini Mbeya amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. 



Baba mzazi wa mtoto John akiwa amekaa na mwanae mara tu baada ya hukumu kutolewa

MWANAMKE Mwanahawa Nassoro(32) Mkazi wa Mtaa wa Airport jijini Mbeya amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto.
Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini juzi kutokana na kosa lililokuwa likimkabili la kumtesa mtoto John Paul(03) ambaye ni mtoto wa kaka yake.

Akisoma mashitaka mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini, Salome Mwakyosi, mwendesha mashitaka wa Polisi Kopro Anthon alisema mtuhumiwa alitenda kosa hilo Machi 12, Mwaka huu kwa nyakati tofauti kwa kumfungia ndani na kumnyima chakula kinyume cha sheria namba 241 ya makosa ya jinai sura ya 16 ya kanuni ya adhabu iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.
Alisema Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Airport, Rehema Mohammed ndiye aliyebaini na kutoa taarifa kwenye uongozi wa Mtaa ambapo mtuhumiwa alikamatwa na hatimaye kufikishwa katika kituo cha Polisi kwa ajili ya hutua za kisheria.

Upande wa Mashitaka ulikuwa na mashahidi wane, ambapo wawili kati yao ndiyo waliotoa ushahidi ambao ni pamoja na Mjumbe wa Serikali ya Mtaa na Mtoto aliyefanyiwa ukatili huo ambaye alimtambua mahakamani Shangazi yake Mwanahawa licha ya kuwepo watu wengi.
Mtoto huyo alifika mahakamani kutoa ushahidi baada ya afya yake kuimarika kutokana na kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Hakimu alipomuuliza mtoto kuhusu mtu aliyekuwa akimpiga alimuonesha Mwanahawa mara tatu ambapo alizidi kumuonesha Shangaza yake huyo.

Kwa upande wake mtuhumiwa wa kesi hiyo alipoulizwa kuhusiana na kosa hilo alikiri ambapo Hakimu aliridhika na ushahidi uliotolewa na pande zote mbili ikiwa ni pamoja na kukiri kwa mtuhumiwa.
Kutokana na ushahidi huo Mahakama hiyo na ilimtia hatiani mshitakiwa kwa kumuadhibu kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela ili iwe fundisho kwa watu wanaofanya vitendo vya kikatili dhidi ya watoto.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top