Meneja
wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella akiwaeleza
kinachoendelea baadhi ya mastaa waliofika msibani hapo.
Mdogo
wa marehemu Abdul Bonge, Bab Tale akihojiwa na Mwandishi Mwandamizi na
Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Global Publishers, Richard Bukos.
Mdogo wa marehemu, Habib Uledi (kushoto) akimueleza jambo msanii wa filamu za Kibongo, William Mtitu.
Mchekeshaji Kitale a.k.a ‘Mkude Simba’ akiingia msibani huku akifuatiwa na mchekeshaji mwenzake, Stan Bakora.
KIFO cha mdau wa muziki nchini ambaye ni mwanzilishi na meneja wa
kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale, kilichotokea
Magomeni-Kagera jijini Dar es Salaam, jana jioni kimeendelea kuzua utata
kufuatia mtuhumiwa wa mauaji mtu aliyetajwa kwa jina la Nassoro Idd
kuingia mitini.Akizungumza na mandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na mama yake Nassoro akamwite ili awasuluhishe.
Muda mfupi baada ya kwenda kwenye ugomvi huo zilirudi taarifa kuwa Abdul Bonge ameanguka na kupoteza fahamu.
Bab Tale alisema walimpeleka Hospitali ya Saint Monica iliyopo Manzese-Darajani lakini waliambiwa tayari ndugu yao alikuwa amepoteza maisha. Kufuatia tukio hilo Nassoro ametorokea kusikojulikana lakini mkewe anashikiliwa na jeshi la polisi.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa muda wowote kwenda Kijiji cha Mkuyuni kilichopo Matombo mkoani Morogoro baada ya polisi kukamilisha uchunguzi wa tukio hilo na kuwakabidhi mwili huo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >