Habari Kali
Loading...

MAPICHA: MUME AKUSUDIA KUMTOA ROHO MKEWE HUKO MBEZI BEACH DAR

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Bwana mmoja huko mbezi beach amemrudisha mkewe nyumbani ajiwa mahututi badala ya kumpeleka hospital kubwa ya Mwananyamala kama rufaa ilivyoandikwa na madaktari wa Masana Hospital iliyoko Mbezi jijini Dar (Afande Jaina Msangi, kushoto, dada wa mgonjwa Ramla kulia kwa mgonjwa, mimi mbele ya mgonjwa wakati tukimbeba kwa ajili ya kumpeleka Mwananyamala. Kushoto kabisa ni mume wa mgonjwa akiwa pembeni kabisa
Ni ngonjwa aliyezidiwa sana, hapo tumemshika alishwe chakula...kabla ya kumpeleka Mwananyamala Hospital
Huyo ndo Mume wa mama Linda Mgonjwa, hapo akituambia hataki presha kama tunataka kumpeleka hospital tumchukue....baada ya vuta nikuvute ya kumtoa mgonjwa nyumbani apelekwe mwananyamala hatimae tulifanikiwa, na huyu mzee hajaenda kumuona tangu ampeleke...
Wakati tunahangaika kumbeba mke wake tumweke kwenye gari, yeye hatoi kabisa ushirikiano ndo kwanza yupo buze na mambo yake.
Tukamkomalia ndo akasaidia.!!!
Nikamuulia NIA yake ya kumrudisha Mgonjwa asiyejitambua tena ni Mke wake, alikuwa na Lengo gani?
Hapa ndo nyumbani kwa huyu mzee na mke we Linda Msoka. Huyu mama mpaka sasa ni mfanyakazi wa Hazina.

 Huyo gumegume alikuwa anafanyakazi Kiwanda sijui gani inavyoonekana mama ndo yuko vizuri kiuchumi, na mpaka sasa ni mfanyakazi wa Hazina lakini analala njaa yeye na huyu binti anaemsaidia Haya majumba mazuri jamani yana tabu? Heri sie tunakaa tandale kwa Amani
Linda Amekaa Mwananyamala siku sita leo siku ya saba tumemwamishia Muhimbili. Huyu mzee mume wake kaja siku mbili tu kati ya hizo siku sita, jana tulimwambia kwamba mgonjwa atahamishiwa Muhimbili akasema hataki usumbufu kama anahamishiwa huko yeye haimuhusu....

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top