Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.
Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali
Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel
Bichima (15).
Kanali Nzoka alisema tukio hilo lilitokea juzi
asubuhi wakiwa darasani, wakati mwalimu huyo anayeshikiliwa na polisi
alipokuwa akiwafundisha. Inadaiwa mwanafunzi huyo alichapwa viboko
vinane. Haikuelezwa kama alichapwa kiganjani ama sehemu nyingine.
Nzoka alidai kuwa mwalimu huyo alimchapa marehemu
baada ya kupata alama 40 katika mtihani wa somo la Kiswahili kwani
walipeana mkakati wa kutofeli na kwamba mwanafunzi atakayepata chini ya
alama 40 atachapwa fimbo 12.
“Mwanafunzi huyo alifariki dunia papo hapo
darasani baada ya kuanguka chini alipochapwa viboko na walimu hao na
mwili wake umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kiteto ukisubiri
uchunguzi,” alisema Kanali Nzoka.
“Natoa wito kwa walimu wa shule za msingi na
sekondari, kuangalia namna ya kutoa adhabu kwa wanafunzi wanapokosea,
baadhi ya watoto afya zao siyo nzuri,” alisema Kanali Nzoka.
Diwani wa Kata ya Matui, Athumani Kidawa alisema
baadhi ya wazazi wa eneo hilo waliopatwa na hasira baada ya kutokea
tukio hilo, waliandamana hadi Kituo cha Polisi Matui kulalamikia kitendo
hicho.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >