Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
Washtakiwa
hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally,
Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram na Hazir Azad,
wote raia wa Iran ambao walikamatwa kwenye Bahari ya Tanzania.
Wengine ni Buksh Mohamed, Rahim Baksh na Abdul Bakashi kutoka Pakistan ambao wote ni wavuvi.
Mbele
ya Hakimu Mkazi, Janeth Kaluyenda, Wakili wa Serikali Janeth Kitali,
alidai mahakamani hapo kuwa kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa.
Baada
ya maelezo hayo, mshtakiwa wa kwanza Ayoub ambaye alikuwa nahodha wa
meli iliyokutwa na shehena ya dawa hizo, alidai bora wapigwe risasi wafe
kuliko kucheleweshewa hukumu yao.
Alisema
kila wanapofikishwa mahakamani hapo, wanaambiwa upelelezi haujakamilika
na muda unakwenda wakizidi kuteseka gerezani ambako mazingira yake si
mazuri.
Hata
hivyo, Hakimu Kaluyenda aliahirisha shauri hilo hadi Mei 5, mwaka huu,
kwa ajili ya kutajwa na washtakiwa hao walirudishwa rumande.
Inadaiwa
Februari 4, 2014, washtakiwa hao walikamatwa na dawa za kulevya aina ya
heroin kilo 200.5, zikiwa na thamani ya sh. bilioni 9.2,
wakizisafirisha kwa njia ya bahari.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >