MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Said mkazi wa Kitunda, Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Polisi baada ya kummwagia maji ya moto mumewe sehemu za siri na tumboni kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, tukio lililotokea Julai 16 mwaka huu, huko Kitunda.
Inadaiwa kuwa baada ya kuwekewa dhamana hiyo, Adam na mkewe mdogo, Aisha Juma, waliamua kwenda nyumba anayoishi mke mkubwa, ambayo inamilikiwa na mwanaume huyo, kwa ajili ya kuoga na kubadili nguo, wakiamini kuwa kusingekuwa na matatizo yoyote kwa vile wanawake wote wawili anaishi nao kihalali na wanafahamiana.
Inasemekana kuwa baada ya kufika nyumbani hapo, Adam alimtaka mwanaye kumwandalia maji ya kuoga na akimaliza apewe bukta, ili aweze kuondoka na mke mdogo kuelekea wanakoishi, lakini wakati hayo yakifanyika, bi mkubwa alianza kutoa maneno machafu ya kejeli, yaliyoonyesha wazi kuwa alikuwa na wivu wa kimapenzi.
MAJERUHI ALONGA NA UWAZI
Akiwa amelazwa katika wodi namba tatu kwenye hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam, majeruhi Adamu Rashid alisema Julai 16 mwaka huu alienda nyumbani kwake akiwa ameandamana na mke wake mdogo, lakini akashangazwa na kitendo cha bi mkubwa kuanza kubwata na kumwuliza alichokifuata, kana kwamba amesahau kama pale ni kwake na wote ni wake zake.
“Baada ya kunimwagia maji, mke wangu mdogo alilia sana kwa uchungu, majirani wakanichukua na kunipeleka Polisi ambako tulimkuta bi mkubwa akiwa anaandikisha maelezo kuwa mimi nimempiga, kuona vile askari walimgeuzia kibao na kumwingiza ndani kwa ajili ya mahojiano zaidi.”
Majeruhi Adam Rashid akiwa amelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam kwa majeraha ya maji ya moto.
Chanzo chetu cha habari kililiambia gazeti hili kuwa tukio hilo lilitokea saa 12.30 jioni baada ya mwanaume huyo, Adam Rashid ambaye ana wake wawili, kwenda katika nyumba anayoishi mke mkubwa akiwa ameandamana na mke mdogo, kwa lengo la kupata maji ya kuoga na kubadili nguo, akitokea kituo kidogo cha Polisi Stakishari, ambako aliwekewa dhamana kwa shauri lililokuwa likimkabili.Inadaiwa kuwa baada ya kuwekewa dhamana hiyo, Adam na mkewe mdogo, Aisha Juma, waliamua kwenda nyumba anayoishi mke mkubwa, ambayo inamilikiwa na mwanaume huyo, kwa ajili ya kuoga na kubadili nguo, wakiamini kuwa kusingekuwa na matatizo yoyote kwa vile wanawake wote wawili anaishi nao kihalali na wanafahamiana.
Inasemekana kuwa baada ya kufika nyumbani hapo, Adam alimtaka mwanaye kumwandalia maji ya kuoga na akimaliza apewe bukta, ili aweze kuondoka na mke mdogo kuelekea wanakoishi, lakini wakati hayo yakifanyika, bi mkubwa alianza kutoa maneno machafu ya kejeli, yaliyoonyesha wazi kuwa alikuwa na wivu wa kimapenzi.
Majeraha ya maji ya moto aliyopata Bw. Adam Rashid.
Baada ya mwanaume huyo kumaliza kuoga na kutoka nje, inadaiwa mkewe mkubwa alijitokeza akiwa amebeba sufuria iliyokuwa na maji ya moto, yanayodaiwa kuwa yalitakiwa kutumika kwa ajili ya kupikia wali na kumwagia tumboni na sehemu za siri, huku akiendelea kumtolea maneno ya kashfa.MAJERUHI ALONGA NA UWAZI
Akiwa amelazwa katika wodi namba tatu kwenye hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam, majeruhi Adamu Rashid alisema Julai 16 mwaka huu alienda nyumbani kwake akiwa ameandamana na mke wake mdogo, lakini akashangazwa na kitendo cha bi mkubwa kuanza kubwata na kumwuliza alichokifuata, kana kwamba amesahau kama pale ni kwake na wote ni wake zake.
“Baada ya kunimwagia maji, mke wangu mdogo alilia sana kwa uchungu, majirani wakanichukua na kunipeleka Polisi ambako tulimkuta bi mkubwa akiwa anaandikisha maelezo kuwa mimi nimempiga, kuona vile askari walimgeuzia kibao na kumwingiza ndani kwa ajili ya mahojiano zaidi.”
Adam Rashid akifunguka kuhusu mkasa uliompata kwa waandishi wetu. MKE MDOGO NAE
“Ndugu mwandishi, mimi na mume wangu tulienda hadi kwa mke mkubwa bila wasiwasi maana na mimi pale ni kwangu kwa sababu nyumba ya mume wangu halali, lakini tulipofika tuliambulia maneno machafu na kejeli.
Mke mkubwa alihoji kwa jeuri kitu gani tulichokifuata pale, mume wangu alikuwa akimjibu kuwa hapa nipo kwangu na huyu niliyekuja naye ni mke wangu halali, mbona unanifanyia mambo ambayo siyaelewi, yule hakuelewa, aliendelea tu na maneno yake machafu.”
KAMANDA WA POLISI
Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Ilala, SACP Marieth Minagi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa huyo anashililiwa katika kituo cha polisi Wilaya ya kipolisi Ukonga na amefunguliwa jalada na kupewa namba RB/STK/9438/2014 KUJERUHI na uchunguzi unaendelea.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >