Akiwa katika mahojiano na na mwandishi wa swahilitz msanii mwenye heshima kubwa katika kiwanda cha bongo movies Yobnesh Yusuph "Batuli" aliweja wazi kuwa wasanii wengi wakike ndiyo watumiaju wazuri na ndiyo wanaingoza kwa uvutaji bangi kuliko wakiume.
Batuli alisema kuwa wasanii wengi wakike wamekuwa wakitumia sana kilevu hicho cha marijuana ama ganga hasa wanapokuwa katika magari yao, nyumbani, wakiwa location na hata wengine hujiiba kwa kujificha katika sehemu zisizoonekana lakini harufu ya mmea hui huwaumbua pindi wanaporejea

"wanawake ndiyo nimekuwa nikiwashuhudia sana kwasababu mara nyingi nimekuwa nikitembelea katika vyumba vyao wanavuta sana BANGI hata muda mwingine utawakuta wamejufungia katika magari wakivuta.
Wengine hujitahidi kujificha lakini harufu ndiyo huwa inawaumbua mara nyingi." alisema Batuli
Wengine hujitahidi kujificha lakini harufu ndiyo huwa inawaumbua mara nyingi." alisema Batuli
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >