Habari Kali
Loading...

WANAFUNZI WA CHUO CHA MWENGE WANASWA NA POLISI KWA UBAKAJI...!! SOMA HABARI YA KUTISHA LIVE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Katika jambo ambalo limevuta hisia za wanafunzi wengi na walimu wa Chuo cha Mwenge ni Tukio lililotokea leo Majira ya Jioni  katika Chuo cha Mwenge kilichopo Moshi.




Kwa Mujibu wa mzazi wa watoto wanaotuhumiwa kubakwa aitwaye  Redenta Boniface Tarimo alieleza tukio zima kuwa siku ya ijumaa majira ya Jioni Binti yake aitwaye Modesta  Boniface Tarimo mwenye umri wa miaka 15 na ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Maki Sekondari iliyoko Olele huko Marangu Kitowo alitoweka nyumbani Huko Marangu Kitowo akiwa na mwenzake aliyetambulika kwa jina la Kresta A. Mroso mwenye umri wa Miaka kumi na sita na hawakuweza kuonekana mpaka jumapili jioni. Baada ya kuonekana ndipo walipobanwa na kusema walikua Moshi mjini kwa Mwanaume ambaye alikua ni mwalimu wao shuleni na anasoma chuo cha Mwenge.


Afisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto Afande Kasusura akiwa amemkamata Mtuhumiwa mmoja aitwaye Majaliwa nje ya chuo cha Mwenge.

Baada ya maelezo ya watoto ha Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Wazazi wa watoto hao ndipo walipofika  katika chuo hicho na kuweza kuwatia mbaroni wanafunzi hao Ndugu Sebastian Mashauza Mwenyeji wa Kigoma na ni mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza  na Mwenzake alitambulika kwa jina moja la Majaliwa Mwenyeji wa Kigoma na ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo hicho.

Mtuhumiwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka waliopo ndani ya Gari kabla ya kwenda kuonesha mwenzake alipo.

Modesta akizungumza na muandishi wetu alisema Anamtambua Sebastian Mashauza kama mwalimu wake alikuja shuleni kwao akawa anawafundisha somo la Kiswahili, Baada ya mwezi mmoja aliondoka wakawa wanawasiliana kwa njia ya simu na siku ya ijumaa ndio mwalimu huyo akamtumia shilingi elfu kumi kwa njia ya M Pesa ili aje mjini na akamwambia aje na mwenzake ndipo alipomuomba Rafiki yake Kresta amsindikize na walipofika ulipofika usiku Mwalimu huyo akamshawishi walale ndipo mwalimu huyo alipomwambia Kresta alale na Rafiki yake aitwaye Majaliwa. 


 Mwanafunzi huyo alizidi kusema kuwa walipotaka kuondoka siku inayofuata hawakupewa nauli ndipo ikapelekea walale tena mpaka siku ya jumapili walipopewa nauli na kuondoka kurudi nyumbani.

Afande Kasusura akimpeleka Mtuhumiwa kuonesha mwenzake alipo


  Hata hivyo uchunguzi wa awali umebaini kuwa Sebastian Mashauza alifundisha katika shule ya Maki sekondari anayosoma Modesta na alikua kama mwalimu wa field hapo kwa kipindi cha mwezi mmoja. 

Kwa sasa watuhumiwa wako Kituo cha Polisi cha Marangu tayari kwa kusubiri Utaratibu wa kisheria kukamilika kabla ya kupelekwa Mahakamani.



Majaliwa akitolewa ndani ya nyumba wanayoishi na ndio nyumba iliyotumika kuwabaka watoto hao baada ya mwenzake kupatikana


Mtuhumiwa namba moja Sebastian Mashauza mwalimu aliyewarubuni wanafunzi wake akiwa chini ya ulinzi mkali.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top