Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa ya wasanii ni washirikina na wanalogana….
Msanii huyo amewashutumu baadhi ya wasanii Bongo kuwa hawawezi kufanya jambo lolote muhimu bila kufanya ushirikina na wengine hawapendi kuona wenzao wakitoka kimaisha…..
Madaha amefikia hatua ya kufumua ushu hiyo kwa madai kuwa hata kufilisika kwake ghafla kumetokea baada ya aliyekuwa mpenzi wake raia wa Kenya Joe Kairuki kupunguza nguvu ya kumsaidia kisanii na kwamba ilitokana na rafiki zake kumpiga juju….
“Wasanii wenzangu wameniloga.Walikuwa wanaona donge sana Joe alipokuwa akinisaidia.Kiukweli wameniporomosha kabisa.Nilienda kwa mtaalamu akanithibitishia hili.Hata hivyo nimepata mfadhili mwingine.Siwezi kumtaja wasije wakanipiga kipapai tena,” alifunguka staa huyo wa wimbo wa Summer Tyme.
Alisema ushirikina umeifanya tasnia ya sanaa kudumaa kwa kiasi kikubwa na kwamba imani hiyo imesababishwa na wsanii wasio na elimu….
“Wasanii wachawi wapo wengi tu.Yaani unamuona msichana mzuri au mvulana mtanashati msanii kumbe anakesha kwa waganga.
“Wengi wanasafiri sana kwenda mikoani kuloga wenzao.Sanaa imejaa uchuro mtupu. Kama si kuelemewa na ushirikina basi tungekuwa mbali sana.
“Ushirikina umesababisha pia fitina, majungu na visilani miongoni mwa wasanii. Hatupendani kwa sabab ya mioyo ya kichawi,” Alisema Baby Madaha
“Ushirikina umesababisha pia fitina, majungu na visilani miongoni mwa wasanii. Hatupendani kwa sabab ya mioyo ya kichawi,” Alisema Baby Madaha
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >