Habari Kali
Loading...

BALAA LA WAJAWAZITO KUPENDA CHIPSI KUKU, WATOTO WANAZALIWA WAKIWA HIVI!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


Ugonjwa unaowakabili watoto waliotoka mgongo nje pamoja na vichwa vikubwa, unaelezwa kusababishwa na ukosefu wa Folic Acid mwilini, hali inayochangiwa na mama mjamzito kupenda kula chipsi kuku.Daktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wodi ya watoto ya Moi, Agricore Joseph alisema wanawake wengi hufikia hatua ya kujifungua watoto wenye matatizo hayo kutokana na kupenda vyakula hivyo, kitu ambacho kinaweza kuepukika.

Mtoto aliyezaliwa akiwa na kichwa kikubwa.
Dokta Agricore aliyasema hayo alipokutana na MC maarufu jijini Dar, Joyce Amina Mwakipunda ‘Mc Jojo’ na Mtangazaji wa Kipindi cha Tashtiti Zetu cha Redio Uhuru, Nuru Issa, walipofika hospitalini hapo kutoa misaada mbalimbali kama vile pampasi, mafuta, poda, maji ya kunywa, juisi ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku yao ya kuzaliwa.
Mtoto akiwa na uvimbe mgongoni.
“Nakujua wewe ni MC maarufu, huko unakopita jaribu kuwaelimisha wanawake juu ya tatizo hilo, na wewe Nuru kwenye kile kipindi chako waelimishe wanawake juu ya hili, naamimi tunaweza kupunguza idadi ya wanaojifungua watoto wenye tatizo hili,” alisema daktari huyo.Alisema, ni wakati sasa wanawake hasa wajawazito kuelimishwa juu ya kutopendelea chipsi kuku badala yake kutumia vyakula ambavyo vinaongeza Folic Acid na kunywa vidonge vinavyotolewa kliniki.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top