Baada ya gazeti la Amani leo (August 21) kuandika
story inayomhusisha Diamond na biashara ya
madawa ya kulevya, meneja wa msanii huyo Babu
Tale amekanusha taarifa hizo na kudai muziki
anaofanya Diamond unalipa kuliko madawa. Akizungumza na Bongo5 leo, Babu Tale amesema
pesa anayoingiza Diamond kupitia muziki ni nyingi
kulipo pesa ya madawa.
“Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa dola
elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya madawa ya
kulevya,” amesema Tale.
“We get more money from music, sio kwenye
madawa ya kulevya, hatufanyi hizo biashara na
kama wanahisi sisi tunafanya tunawaruhusu
watufanyie investigation hata kwa muda wa miaka
kumi ina maana tunavyopita pale airport hawana
vifaa vya kutuchunguza? Ipo wazi hata Global
walishindwa kufanya kazi na sisi kwa sababu sisi
ni wakubwa. Sasa leo hii tunauza madawa ya
kulevya kwa sababu tunakomaa kwenye bei zetu.
September tunafanya show kubwa ya Unplugged
na msanii wa kwanza hapa kufanya ile show ni
Diamond na ile show hawalipi hela ya kis**e,
wataendelea kuona watu wanauza madawa ya
kulevya, hakuna msanii wa Tanzania anayefanya
show kwa walau dola elfu 10,000 ni Diamond peke
yake wengine ni dola elfu 2000, 2500 elfu 3,000
mwisho. Tuna show Marekani show kumi na tano
(15) show kumi na tano dola elfu ngapi? Na kwa
hapa Tanzania hatufanyi show chini ya dola elfu
15,000,” ameongeza Tale.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >