Habari Kali
Loading...

AUDIO: DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU WASANII WA TANZANIA WANAOTAKA KUSHINDANA NAE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Joto la ushindani kati ya wasanii wa Tanzania linazidi kupanda huku mashabiki na vyombo vya habari wakidaiwa kuchochea kuni kwa namna moja au nyingine. 
 
Diamond Platinumz ambaye ndiye msanii anaekabiriwa na ushindani mkubwa zaidi kwa sasa kwa kuwa yuko mstari wa mbele zaidi wa mafanikio katika muziki hapa nchini na kuvuka mipaka kuiwakilisha Tanzania, amewashauri wasanii wanaotaka kushindana nae kutojikita katika ushindani wa nyumbani.
 
Diamond alifunguka katika mahojiano aliyofanya na The Jump Off ya 100.5 Times Fm na Jabir Saleh kabla hajapokea tuzo ya AFRIMMA kama mwimbaji bora wa kiume Afrika Mashariki.
 
“Tutanue mawazo, tuache mawazo ya kushindana wenyewe kwa wenyewe Tanzania. Labda kuleta mabadiliko yataleta mabadiliko ya Chalinze, mababadiliko ya Dar es Salaam au wapi. ‘Tukakomeshana tukikutana kwenye show labda ya Mwembe Yanga,’ tuache hizo fikra.”Alisema Diamond.
 
“Kwa sababu sisi tunaweza tukafikiri hapa kuna pesa nyingi sana lakini hakuna pesa nyingi kama ukifirikia kule mbele. Kwa sababu mbele unaweza kupiga show mpaka dola 100,000 ambayo ni kama milioni 160 au 170. And that’s the only way we can make a lot of money.
 
“Nafikiria huu ni wakati wetu sisi, tufocus sasa na mbele kuliko kufocus hapa tunakuwa tunabishana sehemu ambayo ni padogo. Hapa tu kwenye chumba kimoja tunang’ang’ania humuhumu, huyu kashika mlango hatoki…wakati huku kuna sebule kuna nini…” Aliongeza.
 
Mkali huyo wa MdogoMdogo ameeleza kuwa wakati akiwa katika tuzo za BET alikuwa anaona jinsi ambavyo baadhi ya watu walivyotengeneza makundi na kuanza kumdiss bila sababu. Lakini yeye kwake hiyo huwa inampa nguvu zaidi ya kuwaza kuwa ni muda wa kuwakomesha kwa kutoa vitu vikali zaidi.
 
Msikilize hapa:

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana