Habari Kali
Loading...

DIAMOND KUFANYA BONGE LA SHOO LEO KATIKA UFUNGUZI WA BBA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' leo anatarajiwa kupiga shoo ya nguvu kwenye ufunguzi rasmi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, nchini Afrika Kusini.
Diamond anatarajiwa kupamba shoo hiyo ya ufunguzi ambapo pia atakuwa sambamba na mwanamuziki wa Nigeria, Davido watakapoimba wimbo wao wa ‘Number One Remix’.
Hii ni mara ya pili kwa Diamond kupiga shoo katika ufunguzi wa shindano hilo la BBA, awali alifanya hivyo katika msimu wa saba.
Shindano hilo la kila mwaka, linaloandaliwa na kampuni ya Multchoice, msimu huu ni la 9, likijulikana kama ‘Big Brother Hotshots’ linashirikisha washiriki kutoka nchi 12 za bara la Afrika na mshindi anatarajiwa kuondoka na kitita cha dola 300,000.

Nasseb Abdul ‘Diamond Platnumz'.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top