Mkazi wa Kimara Temboni, Felix Makundi (90) amekufa papo hapo baada ya kuteketea kwa moto wakati akiwa amelala.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema kuwa mzee huyo
aliteketea juzi baada ya moto kuzuka katika nyumba yenye vyumba vitatu
mali ya Benson Makundi na kumuunguza mzee huyo mwili mzima hadi kufa
pamoja na kuteketeza mali zote zilizokuwamo ndani.
Alisema
wakati moto huo unatokea, mwenye nyumba hakuwepo na hadi sasa chanzo
cha moto huo hakijafahamika. Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika
Hospitali ya Tumbi Kibaha huku Polisi wakiendelea na upelelezi wa tukio
hilo.
Wakati
huo huo, fundi umeme wa kampuni ya Catic, Omari Mkula (35), amekufa
papo hapo baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya nne wakati akiendelea na
ujenzi.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alisema kuwa fundi huyo
alikufa juzi mchana katika eneo la Tuangoma, Temeke katika Mradi wa NSSF
baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya nne baada ya kamba ya winchi
kukatika.
Kamanda Kihenya alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Temeke kwa uchunguzi zaidi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >