Habari Kali
Loading...

HIVI NDIVYO MSAIDIZI WA MWINGIRA ALIVYOUAWA KWA RISASI...FUATILIA MKASA HUU HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
INASIKITISHA! Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Efatha, Nabii Josephat Mwingira, mwishoni mwa wiki alimpoteza mkalimani wake, Adson Philip Cheyo aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mazishi ya ya aliyekuwa msaidizi wa Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Efatha, Nabii Josephat Mwingira, marehemu Adson Philip Cheyo yakiendelea.
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, Cheyo alikuwa ametoka katika mojawapo ya matawi ya benki mbalimbali zilizopo eneo hilo lenye shughuli nyingi zilizojaa pilikapilika, akiwa na kiasi cha fedha zinazokadiriwa kuwa shilingi milioni nane.
Mwili wa marehemu Adson Philip Cheyo ukiwa kwenye jeneza.
Baada ya kuchukua fedha hizo, inadaiwa kuwa mkalimani huyo ambaye hutumiwa zaidi na Nabii Mwingira anapokwenda kuhubiri nje ya nchi, alikwenda sehemu aliyoegesha gari lake na kuingia, lakini kabla hajafanya chochote, vijana wawili walitokea na kumtaka awape fedha alizoshika, kitendo ambacho alikitii.
Lakini pamoja na kuwapa fedha hizo, vijana hao walimpiga risasi mbele ya mke wake na kuondoka bila kukamatwa, kitu kinachotia shaka kubwa juu ya usalama wa eneo hilo lenye kutembelewa zaidi na watu wenye fedha jijini Dar es Salaam.
Marehemu Adson Philip Cheyo enzi za uhai wake.
Katika ibada ya kumuombea marehemu wakati akiagwa tayari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Mbeya, Nabii Mwingira alisema kifo hicho ni pigo kubwa kwake na waumini wenzake, lakini wanaamini kilichotokea ni mapenzi ya Mungu na wao watamuombea kila mara.
Waumini wengine wa kanisa hilo walionekana kuwa na majonzi, hasa kutokana na kuwa karibu na marehemu huyo, aliyezaliwa Januari 7, 1970.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top