Msanii anayefanya vizuri kunako tasnia ya filamu Bongo, Rayuu Bagenzi 'Rayuu' ambaye amewahi kukumbwa na skendo kibao ikiwemo kupiga picha za nusu uchi pamoja na kuonyesha michoro ya tatoo katika sehemu zake nyeti amedai kuwa amelazimika kubadili mwenendo wake hivyo kuomba radhi kwa kuikwaza Familia yake, ndugu, jamaa na marafiki
Rayuu aliamua kuchukua maamuzi hayo baada ya kuona anakoelekea si kwema hasa katika kujenga msingi wa maisha yake na sanaa kwa ujumla.....Hata hivyo msanii huyo alikana kusambaza picha zake za utupu na kushikilia msimamo kuwa picha hizo zilivujishwa na watu wake waliokuwa na nia ya kumchafua....
"Naiomba radhi familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na jamii nzima kwa yote niliyofanya.Nimeamua kubadilika na kujitenga na watu wabaya ambao hawanitakii mema. Mimi ni mtu mzima hivyo najua haya ninayoyafanya yatakuja kunigharimu baadae,"alisema Rayuu.
Aliongeza kuwa skendo nyingi chafu zilimdhalilisha na kuleta fedheha katika familia yake na kwamba hahitaji tena kutokea kwa hali hiyo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >