Habari Kali
Loading...

KAULI YA SHILOLE BAADA YA KUZICHAPA NA MPENZI WAKE NUHU MZIWANDA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
penzi lililopata ‘promo’ ya kutosha ndani ya muda mfupi kati ya mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na Nuh Mziwanda limeingia shubiri baada ya juzikati wawili hao kuzichapa. Kisa cha wawili hao kuzibuana kinadaiwa ni baada ya Nuh kukuta sms tata ya mwanaume kwenye simu ya Shilole ambapo inadaiwa baada ya jamaa huyo kumtaka mchumba wake huyo ampigie aliyetuma meseji hiyo kukawa na kusuasua. 
Mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
 
Chanzo chetu cha habari kilichoomba jina lake lisichorwe gazetini kilitiririka: “Shilole na mchumba’ke walikuwa chumbani, mara ikaingia sms kwenye simu ya Shilole.
 
“Nuh alipoiona alimlazimisha Shilole ampigie jamaa aliyetuma sms na aweke ‘loud speaker’, Shilole alipoipiga ile namba, akajichanganya kidogo licha ya kuwa, jamaa alikuwa anamjua na wala hakuwa mpenzi wake ila ni washikaji tu.
 
Mwanamuziki na mpenzi wa Shilole, Nuh Mziwanda akipozi.
“Kuona vile si Nuh akaanza kumpiga na hapo ndipo timbwili lilipotokea. Wote waliumia ila Nuh ndiye aliyeumia zaidi, ilikuwa ni vurugu kweli, baada ya ugomvi Nuh akaondoka na mfuko kama wa rambo hivi akiwa na vitu vyake kana kwamba katimuliwa,” kilidai chanzo hicho.Baada ya kuzipata nyeti hizo, Ijumaa lilimtafuta Nuh na alipopatikana alikiri kutokea kwa ugomvi lakini hakuwa tayari kuuzungumzia kwa kirefu.
 Shilole alipopatika alisema: “Ni kweli tukio lilitokea. Ni hivi, aliyenitumia ile meseji ni mdau wangu, aliniambia kuwa yuko Dar tutafutane na wala si kwa mambo ya mapenzi lakini nikashangaa Nuh analazimisha nimpigie.
 “Ile napiga naongea naye, si akanipiga kofi, hapo vurugu ikatokea. Kimsingi sikutarajia, ni kweli nampenda lakini mimi nadhani bora kila mmoja achukue hamsini zake.“Nilimheshimu sana, wamekuwa wakinitongoza wanaume wengi lakini nikawa nawakatalia kwa kuwa nampenda lakini leo anakuja kunipiga kwa mtu ambaye wala sina mpango naye. Amenikasirisha sana, acha aende zake, unajua mapenzi hayaendi hivyo,” alisema Shilole.
 Hata hivyo, taarifa zilizopatikana baadaye zilieleza kuwa, baada ya ugomvi huo Nuh alichukua kila kilichokuwa chake na kuondoka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi na Shilole kwani alikuwa ni kama kahifadhiwa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top