Habari Kali
Loading...

WOLPER ATIBU NA KUTIA DOA UCHUMBA WA NEY WA MITEGO NA DEMU WAKE BAADA YA KUTOKA NAE KIMAPENZI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefungukia madai ya kutoka na msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na kudai kuwa wao ni washikaji tu ila ukaribu wao umesababisha mtifuano kati yake na mchumba wake, Siwema.
Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ 
Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum Nay alisema, watu wamekuwa wakieneza kuwa yeye na Wolper wanatoka kiasi cha kumkosesha amani Siwema na kufikia wakati f’lani wakatibuana.
 Mahojiano kati ya mwandishi wetu na Nay yalikuwa hivi:   Msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper.
Ijumaa: Kuna madai kuwa wewe unatoka na Wolper, hii ikoje?
Nay: Wolper ni mshikaji wangu, kama watu wanavyojua kwamba yule ana mambo ya kisela f’lani na hicho ndicho kinanifanya nimpende. Ila najua kitu kilichowafanya watu wahisi kuna kitu kati yangu na yeye ni baada ya kuposti picha yangu kwenye ukurasa wake wa Insta na hapo ndipo likaibuka tatizo. Na hilo lilileta ugomvi kwenye uhusiano wangu lakini ukweli ni kwamba kama mahusiano yapo ni ya kawaida tu.Nay wa Mitego akiwa na mchumba wake, Siwema.
Ijumaa: Sasa wewe na Wolper mkikutana huwa mnazungumzia nini?
Nay: Mambo ya kazi tu, si unajua nina mpango wa kucheza muvi baadaye
Ijumaa: Mbona sasa inadaiwa mnatoka kwa siri?
Nay: Hayo maneno ya watu tu japokuwa ni mwanamke mzuri, anamvutia mwanaume yoyote rijali
Ijumaa: Ikitokea ameingia mzimamzima kwako itakuwaje?
Nay: Ikitokea ameamua kuingia mzimamzima, nitaangalia mapokeo yake (Kicheko sanaaa)
Ijumaa lilifanya jitihada za kumsaka Wolper kupitia simu yake ya mkononi lakini hakuweza kupatikana. Tukimpata naye tutampa nafasi ya kufunguka.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top