Habari Kali
Loading...

MAMA ATIWA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii.
Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10).
Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani baada ya kudaiwa kumfungia ndani mwanaye aliyejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10).
Majirani wa mama huyo ambao waliomba majina yao kutoandikwa gazetini, walidai kuwa mama huyo alikuwa na tabia ya kumfungia ndani mtoto wake huyo na yeye kutokomea kusikojulikana na amekuwa akifanya hivyo kwa zaidi ya mwezi mmoja.
“Baada ya kuona tabia hii imekithiri tuliamua kuwatafuta wazazi wa mwanamke huyo kwani tuliona anaweza kusababisha kifo kwa mtoto huyo kwani akiachwa huwa analia sana,” alisema shuhuda mmoja.
Bibi wa mtoto Steven Amos (miezi 10).
Alisema baada ya kuwapata wazazi wa mama huyo walimkabidhi mtoto huyo na mama akamtafuta mwanaume aliyezaa naye ambaye alimsaka mama wa mtoto huyo wakamkuta Temeke ‘akiponda’ raha, akashauriwa arejee nyumbani, akakubali.
Mama huyo baada ya kurudi nyumbani kwake wananchi wenye hasira walimkamata na kumfikisha Kituo cha Polisi Kitunda kisha akahamishiwa Kituo cha Wilaya ya Kipolisi cha Ukonga, Sitakishari ambapo ametiwa mbaroni.
Mama huyo alipohojiwa na mwandishi wetu wakati anapelekwa polisi kuhusu sakata hilo, alikiri kutoweka nyumbani na kumuacha mtoto.“Ni kweli, nilimuacha mtoto kwa kuwa hakuna msaada wowote ninaopata, hivyo nikatoweka na sikuwa na makazi maalum,” alisema Bhoke.
Wakati huohuo, mtu asiyejulika amemtelekeza mtoto anayekadiriwa kuwa na miezi tisa maeneo ya Majumba Sita, Ukonga jijini Dar es Salaam na tukio hilo limefikishwa Kituo cha Polisi, Stakishari.
Mtoto (jina halikufahamika) akiwa kituo cha polisi Stakishari Wilaya ya Ukonga baada ya kutelekezwa na mama yake mzazi maeneo ya Gongo la Mboto.
Pia mtoto mwingine anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi sita alifikishwa katika Kituo Kidogo cha Polisi Gongo la Mboto, baadaye akahamishiwa Kituo cha Stakishari baada ya kutelekezwa na mtu aliyekuwa naye .
  Habari zinasema mtoto huyo amepelekwa Hospitali ya Amana na amelazwa wodi namba moja kwa uchunguzi zaidi.Afisa mmoja wa polisi ambaye alidai siyo msemaji amethibitisha kutokea kwa matukio hayo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top