Habari Kali
Loading...

MTOTO AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU..!! AONGEI WALA HASIKII KWA MIAKA MITATU..

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MTOTO Mariam Shabani (5) aishiye Bunju A Zone Kizota nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam  ambaye alizaliwa akiwa mzima, amekumbwa na ugonjwa wa ajabu unaowashangaza wazazi wake.
Mtoto Mariam Shabani akiwa katika mateso baada ya kupatwa na gonjwa la ajabu.
Mzazi wa mtoto huyo, Idd Shaban aliwaambia waandishi wetu kuwa mwanaye akiwa mchanga alisadikika kuwa na matatizo ya ubongo lakini ukuaji wake ulikuwa mzuri kama wanavyokuwa watoto wengine.
HALI ILIPOANZA KUBADILIKA
Akifafanua zaidi Shaban alisema: “Alipofika umri wa miaka miwili hali ilibadilika akawa mtu wa kulala tu na mpaka sasa hawezi kufanya chochote.
“Baada ya kupata hayo matatizo tuliamua kumpeleka Hospitali ya CCBRT iliyopo Msasani Dar kwa ajili ya matibabu zaidi lakini ilishindikana na madaktari walisema tuwe tunampeleka katika tawi la Hospitali ya CCBRT lililopo Tegeta kwa ajili ya mazoezi kwa ahadi kuwa hali yake itakuwa sawa.
ASHINDWA KUTEMBEA, KUONGEA
“Tuliendelea na mazoezi katika Hospitali  ya Tegeta lakini hali ilizidi kuwa mbaya kabisa kwani Mariam akawa ajiwezi kwa chochote si kutembea wala kuongea, akawa ni mtu wa kulala muda wote, mbaya zaidi mpaka sasa hawajui kama anasikia au la sababu hata tukimsemesha haonyeshi ushirikiano.
“Kwa kweli mwanangu anapata wakati mgumu sana kwani hata akiumwa hatuwezi kujua mpaka alie au awe na joto kali, kuna siku alianguka kutoka kitandani na kuvunjika mguu kiukweli tulipata tabu kumtibu kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu, tulijitahidi akapona mguu kwa pesa za kududunduliza.
Akiwa amelala.
ALIKUWA ANAONGEA NA KUCHEKA
 “Naumia sana kuona mwanangu yupo katika hali mbaya wakati alizaliwa akiwa mzima asiye na kasoro, alikuwa anaongea, anacheka pia aliwahi kutambaa na kutembea katika ukuaji wake utotoni.
“Nakiri kuwa tuliambiwa ana mtindio wa ubongo, huenda hiyo hali ilichelewa kujitokeza mpaka baada ya miaka miwili ndipo hali hii ikajitokeza.
NATAMANI AWE AKIENDA SHULE
“Sijui hatima ya mwanangu, natamani kuona binti yangu anakwenda shule kama watoto wengine hata kama siyo shule za kawaida basi za watoto wenye mtindio wa ubongo japo uwezo kifedha sina.
“Mimi ni mjenzi na nina kipato kidogo sana, nawaomba wasamaria wema, Watanzania wenzangu wanisaidie fedha za matibabu na kibaiskeli cha kumbebea kwa sababu tumemtengenezea kiti cha mbao ambacho kinamuumiza,” alisema Shaban.
Yeyote aliyeguswa na habari ya kusikitisha ya mtoto Mariam awasiliane na mzazi wake kwa simu namba 0718 848 895.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top