Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania imeanzisha mpango mpya kwa ajili ya kupambana na uhaba wa Walimu wa masomo ya Sayansi na hesabu wa shule za msingi kwa kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya stashahada (Diploma) watakaochaguliwa.
Ni mpango maalum unaoanza mwaka huu wa masomo 2014/2015 ambapo Mkurugenzi msaidizi wa habari, elimu na mawasiliano Cosmas Mwaisobwa amesema huu mpango utasaidia Wanafunzi zaidi ya elfu tano.
Maneno yake mengine ni haya >>> ‘ Serikali inafanya jitihada za kuziba pengo la uhaba wa Walimu wa hayo masomo kwenye shule za msingi na sasa hii imekua programu maalum itakayoendeshwa na chuo kikuu cha Dodoma mwaka huu‘
Pamoja na hayo bodi imekiri kuchelewesha kuwalipa fedha za vitendo wanafunzi wa vyuo vitano mwezi July 2014 kutokana na changamoto ya uhaba wa fedha lakini ahadi ni kuwa malipo hayo yatafanywa hivi karibuni.
Wanachuo hao ni kutoka Tumaini Makumira wanafunzi 1715, Stephano Moshi 1191, IFM 2578, Mt. Agustino 2639, Teophilo Kisanji Mbeya ni Wanachuo 1823 ambapo jumla ya Wanachuo hao inafikia 9946.
Kwenye sentensi nyingine ni kwamba Wanafunzi ambao wamecheleweshwa kulipwa hela za mafunzo kwa vitendo, mpaka wiki ijayo malipo yao yatakua tayari.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >