Dar es Salaam. Asilimia 10 ya vijana nchini wenye umri wa miaka 12 hadi 14, wamegundulika wanajihusisha na vitendo vya ngono isiyo salama.
Akizungumza jijini jana, Mratibu wa Mradi wa Prepare ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Kituo cha Afya na Utafiti Muhimbili, Lusajo Kajula alisema kuwa katika matokeo ya utafiti uliofanyika vijana wengi walionekana kufanya ngono ya uke, mdomo pamoja na njia ya haja kubwa.
“Asilimia 6.3 ya vijana wanafanya ngono ya njia ya haja kubwa (kinyume na maumbile) wakati asilimia 93.7 hawajawahi kufanya ngono na utumiaji wa kondomu ukiwa ni mdogo kwa vijana wadogo waliojiingiza kwenye vitendo vya ngono,” alisema Lusajo
“Asilimia 68 ya wale walioanza kufanya ngono hawajui kutumia kondomu wakati asilimia 32 hutumia kondomu.”
Lusajo alifafanua kuwa utafiti huo umebaini kuwa chanzo kikuu cha vijana hao kujiingiza kwenye vitendo vya ngono wakiwa na umri mdogo ni pamoja na kupata vishawishi kutoka kwa marafiki na hata barabarani kwa wanaume ambao hawana maadili. (Vicky Kimaro na Prisca Musa)
“Lishe duni ni kishawishi kikubwa, wazazi wajitaidi kuwapa watoto wao mlo mzuri na kuhakikisha wanashiba ikiwezekana wawafungashie vyakula vya kula shule kuepuka kupata ushawishi kwa wauza chipsi kwa kuwa imeonekana wauza chipsi wanaongoza kuwarubuni vijana.
Alisema utafiti huo umeshirikisha vyuo vikuu vya Makerere, Cape Town, Limpopo, Afrika Kusini, Bergen, Oslo, Norway, Maastricht, Uholanzi, Sussex na Uingereza umebaini kuwa wazazi wa kitanzania wanawalea watoto wao katika mazingira ya ukali huku wakiweka mafumbo katika elimu ya afya na uzazi.
“Nchi nyingi za Afrika zinatumia ukali katika malezi, Tanzania inaongoza kitu ambacho kinasababisha watoto wawaogope wazazi wao hata kuwauliza maswali yanayohusu mabadiliko ya maumbile yao, mfano mzazi anamwambia mwanae usitembee na mwanaume, ukijaribu tu utapata ukimwi na utakufa, sasa pale unamjengea mtoto maswali, unatakiwa umueleze wazi kujamiiana na nini, na athari zake kwa uwazi.
Lusajo alisema kuwa mradi huo ulitekelezwa kwenye shule 38 kutoka Manispaa ya Kinondoni zilizochaguliwa ka kutumia sampuli mtawanyiko zilizopangwa katika makundi mawili kuendana na ukubwa wa shule ambao ulihusisha jumla ya wanafunzi 6,000.
Aliongeza kuwa mradi huo ulipunguza uwezekano wa vijana wadogo wavulana na wasichana kuanza ngono na uongeza uwezekano wa kutumia kondomu kwa wale walionza kwa kuwa wasichana waliopata mwingiliano ukilinganisha na wale ambao hawakupata mwingiliano.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >