Ucheshi na ukarimu ni sifa za msingi walizonazo watu wa Ufilipino. Lakini kingine cha ziada walichojaaliwa watu wa taifa hili, ni uwepo wa warembo wenye kuvutia.
Wengi wa warembo hawa wana haiba ya kike inayoweza kumvutia kila anayemuangalia . Kitu kingine kinachowatofautisha wanawake wa Ufilipino na wengine duniani, ni ule uwezo wao wa kulea familia kwa mapenzi makubwa tena kwa kuzingatia mila na tamaduni zao.
Kutokana na ukweli huu, wadau kadhaa wa masuala ya burudani wamekuwa wakielekeza macho yao kwa wanawake hawa. Jambo lililochangia kuandikwa kwa makala tofauti kuhusiana nao.
Hivi karibuni mtandao wa The Richest ulitoa orodha ya walimbwende wakali zaidi nchini humo. Unafahamu ni nani alikuwa kinara katika orodha hiyo ya warembo 20?
Angel Locsin (29), ndiye aliyekuwa kinara katika orodha hiyo. Nyuma yake walikuwepo warembo kama Marian Rivera (Marimar), Kirsten Esmeralde Hermosa (Ina Makaspak), Bea Alonzo, Maja Salvador na wengine waliowahi kuonekana kwenye tamthilia mbalimbali za kifilipino. ’
Safari ya mafanikio ya Angel ilianzia pale alipoigiza kwenye tamthilia ya Mulawin akicheza kama Alwina.
Kazi nzuri aliyoifanya kwenye kazi hiyo, ilitosha kuwa kichocheo cha kupata kazi nyingine Mars Ravelo akicheza kama Darna na baadaye Majika akicheza kama Sabina.
Umahiri na kujituma na zaidi urembo na ukarimu wake ulichangia kwa kiasi kikubwa kupanda haraka kwenye mafanikio. Baada ya kumaliza mkataba na kampuni aliyokuwa akifanya kazi chini yake inayofahamika kama GMA 7, moja kwa moja aliajiriwa na kampuni nyingine ya masuala ya uigizaji nchini humo inayofahamika kama Kapamilya Network.
Akiwa na kampuni hiyo alipata nafasi ya kuigiza kwenye tamthilia ya “Imortal”, “Only You” na “Toda Max”. Angel ni miongoni mwa bidhaa maarufu sana nchini Filipino hivi sasa.
Kutokana na ukweli huo, ameweza kujishindia tuzo nyingi tu hususani zile zinazohusiana na tasnia ya uigizaji.
Uchakarikaji wake pia ndiyo chanzo cha kuchaguliwa kuwa muigizaji kiongozi kwenye tamthilia ya “In the Name of Love” akicheza kama Mercedes Fernandez.
Kupenda kwake kupata changamoto mpya katika maisha mara kwa mara, anakutaja kuwa ndiyo sababu kubwa inayomfanya afanye kazi na kampuni tofauti tofauti. Kwani hata baada ya kuhamia Kapamilya Network na kufanya nao kazi kadhaa, mwaka 2007 aliondoka, ikiwa ni baada ya mkataba wake kwisha na kujiunga na ABS-CBN anakofanya kazi hadi leo hii.
Akiwa humo ameendelea kufanya vizuri na hata kukonga nyoyo za washabiki wake wa ndani na nje ya nchi yao.
Sifa kubwa ya mwanamke ni kufanya kazi nyingi iwezekanavyo. Na hili ndilo linalotokea kwa mrembo huyu. Kwani kila uchao amekuwa akiumiza kichwa kufikiria ni kwa vipi anaweza kuingiza pesa kupitia vipaji na ujuzi aliokuwa nao.
Amekuwa akifanya miradi mbalimbali ya kujiingizia kipato. Pamoja na uigizaji, Angel ameweza kujizolea kipato kutokana na kazi utengenezaji wa filamu, ubunifu wa mitindo na pia uanamitindo hususan katika matangazo ya biashara.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >