Mwanamuziki kiongozi wa bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Baba, akiwa na mkewe.
MWANAMUZIKI kiongozi wa bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Baba, maarufu kama Chalz Baba, ambaye wiki iliyopita alimpa kipigo kikali mkewe, Rehema Sospeter na kusababisha ndoa yao kuyumba, hatimaye amemuomba radhi na hivi sasa wawili hao wamerejea kwenye uhusiano wao kama awali.
Habari zilizopatikana kutoka kwa chanzo makini, zinasema baada ya kutokea kwa varangati hilo, mke huyo aliahidi kurejea kwao kutokana na kuchoshwa na vipigo vya mara kwa mara kutoka kwa mwanamuziki huyo nyota wa zamani wa African Stars ‘Twanga Pepeta’.
Ilidaiwa kwamba baada ya tukio hilo, hata hali ya kiongozi huyo wa bendi haikuwa nzuri kisaikolojia, jambo lililofanya uongozi wa Mashujaa kuamua kuingilia kati ili kuiokoa ndoa hiyo.
Mmiliki wa Mashujaa Musica anayejulikana zaidi kwa jina la Mamaa Sakina, ndiye aliyefanya shughuli hiyo ya kusawazisha mambo kabla hayajaharibika zaidi.
Risasi Mchanganyiko lilifanikiwa kukutana na Mamaa Sakina katika ukumbi wa Ten Lounge uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam akiwa amekaa na mke wa mwimbaji huyo. Muda mchache baadaye Chalz Baba pia alitokea na moja kwa moja aliongoza kuelekea meza aliyokaa mkurugenzi huyo.

Chalz Baba,
“Ni kweli kabisa kama ulivyosikia, kwa sasa mimi na mke wangu tumemaliza tofauti zetu, nimemuomba radhi amenielewa, ile ahadi yake ya kutaka nimrudishe kwao ameifuta na sasa hivi tumeanza upya maisha yetu ya ndoa,” alisema Chalz Baba.
Naye kwa upande wake, Mamaa Sakina alisema anamshukuru Mungu kuona ndoa hiyo imerejea kwani isingekuwa vizuri kuona imevunjika.“Sasa hivi Chalz na mkewe kama unavyowaona, mahaba tele wamemaliza tofauti zao,” alisema.
SAJENTI NUSURA ATIBUE HALI YA HEWA
Wakati mambo yakionekana kunyooka, ghafla hali nusura ibadilike baada ya zilipendwa wa Chalz ambaye alibahatika kuzaa naye mtoto mmoja wa kike anayejulikana kwa jina la Husna Idd ‘Sajenti’ kwenda mbele kumtunza mwanamuziki huyo alipokuwa akifanya makamuzi jukwaani.
Kitendo hicho kilidaiwa kumuudhi Rehema ambaye alijikuta akinuna ghafla hasa baada ya Chalz kutabasamu kwa kutunzwa na Sajenti

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >