BINTI mmoja aliyeonekana kuzidisha kiburudisho, mwishoni mwa wiki iliyopita alitibua onyesho na kugeuka kuwa burudani baada ya kupanda juu ya jukwaa la Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’ na kuwakumbatia ovyo wanamuziki.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita katika ukumbi wa Railway Club ambako paparazi wetu alimshuhudia binti huyo aliyefahamika kwa jina moja la Fatma, akianza kubadilika taratibu kadiri alivyokuwa akipata kiburudisho chake kilichokuwa katika vipakti vya plastiki.
Licha ya kuwakumbatia, pia msichana huyo alivuruga shoo hiyo baada ya kukanyaga nyaya zinazounganisha vyombo vya muziki vya bendi hiyo na kusababisha umeme kuzimika jukwaani, hivyo kusababisha onyesho kusimama kabla ya mafundi mitambo kurekebisha hitilafu.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >