Habari Kali
Loading...

CHUCHU: HAPA RAY KAFIKA, NAMPA KILA KITU ANACHOTAKA NDO MANA KATULIA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mahaba mahabani! Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa staa mwenzake ambaye ni mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefika kwenye penzi lake ndiyo maana ametulia kwani amepata ‘malovee’ aliyokuwa akiyatafuta siku zote.
Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans (katikati) akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar.
Chuchu alitoa kauli hiyo kwenye sherehe fupi ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar ambapo alikwenda kujumuika na watoto wachanga hasa wale waliofiwa na wazazi wao pamoja na waliozaliwa siku hazijatimia ‘premature’.
Chuchu Hans akiwa na Ray.
Staa huyo alisema hivi sasa Ray hafurukuti kwake kwani anampa mapenzi motomoto. “Hapa Ray amefika aambiwi kitu,” alisema Chuchu.Alipoulizwa sababu ya kusherehekea hospitalini hapo aliweka wazi kuwa ilitokana na yeye kuzaliwa ‘premature’ na mwanaye kumzaa akiwa ni premature hivyo aliona awakumbuke watoto wa aina hiyo na waliozaliwa na kufiwa na wazazi wao huku wakiwa wodini.
Chuchu aliyeongozana na wasanii kadhaa, aliwapatia watoto hao zawadi mbalimbali.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top