Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini Tanzania. Kuna Profesa mmoja wa hapa chuoni kwetu ameanzisha uhusiano na mpenzi wangu ambaye nilikuwa nampenda sana na nilitegemea awe mama wa watoto wangu. Pamoja na kwamba nilikuwa nampenda sana lakini nililazimika kuachana naye ili kuepuka migogoro ambayo ingenisababishia matatizo katika masomo yangu.
Binti yule alilia sana na kunibembeleza nikubali heti kwasababu alikuwa ametumwa na Profesa aniletee mimi. Nilikana kwa herufi kubwa na kumfukuza kama mwizi.
Ilipofika mitihani ya majaribio nikaona performance yangu inashuka na baadhi ya mitihani yangu ikapotea na kuambiwa heti sikufanya test. Hata hivyo somo la yule Profesa nikawa ninafauru vizuri ingawa nilikuwa sijiandai ipasavyo kama masomo mengine. Nimefuatilia sana lakini sikuambulia kitu zaidi ya kuambiwa heti nisubiri kurudia masomo ambayo sikuwa nimeyafanyia test. Nimeumia sana kwasababu nilikuwa mwaka wa mwisho.
Pamoja na kwamba nimeumia sana kurudia mwaka lakini kinachonichanganya zaidi ni kwamba mwalimu yule bado yupo pale chuoni. Sijajua kitu ambacho kinaweza kutokea katika mwaka huu mpya wa masomo ambao sikustahili kuwa chuoni.
JE, NIFANYE NINI ILI KUWEZA KUEPUKANA NA VITIMBI VYA PROFESA HUYU?
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >