Habari Kali
Loading...

MATATIZO GANI YANATAJWA ZAIDI KATIKA NDOA ZA WATANZANIA....?? SOMA HAPA NIKUJUZE...

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
woman

Chris Mauki ambae ni mtaalamu wa Saikolojia ambae ni Mhadhiri kwenye chuo kikuu cha Dar es salaam, anakwambia katika kesi kubwa zinazoripotiwa kwa wingi na Wanandoa Tanzania sasa hivi, ni ndugu.
Anasema ‘Ishu ya nani anampa pesa baba wa mume, nani anampa pesa mama wa mke… ukipeleka pesa ukamwambia mume umemtumia baba laki tatu, kesho na yeye anapeleka milioni kwa baba yake alafu ukija kujua, kaeni pamoja muamue… kama mzazi wako akitaka pesa kwa nini afanye kwa siri? ukimsaidia mzazi bila kumwambia mwenza ikija kugundulika ndio tatizo… hii ishu inatajwa sana na Wanandoa wengi kuliko matatizo kama tabia za watoto, kazi n.k ‘
‘Mara nyingi Mwanamke anapoolewa na kuja kwenye ndoa anafikra kwamba Mama mkwe anaweza asinipende sasa ikitokea Mama Mkwe lada na dada za mume wakiongea kitu, tayari ni noma… anapokea vibaya kwa sababu tayari alikua na dhana hiyo’
sad-black-woman
Kwenye mstari mwingine, Mauki amesema ‘tatizo la pesa pia linazungumziwa sana.. na ishu ya pesa sio kwamba watu hawana pesa bali kinachozungumziwa ni matumizi ya hizo pesa, mmoja anamtuhumu mwenzake anatumia pesa ovyo bila mpangilio au kwenye matumizi ambayo hawakukubaliana, mfano pesa ya ujenzi mke anakwenda kununulia nguo na nywele, Wanaume wanalalamika kwamba mahitaji ya Wanawake yamekua makubwa kupitiliza’
‘Wanaume wanaweza kupanga kabla ya kupata pesa kwamba akiipata atafanya kitu hiki na hiki lakini Mwanamke anaweza kuplan kuhusu matumizi ya pesa kabla hata ya kuipata, anaweza kupata pesa kesho alafu akaitumia kwenye vitu vingine alafu asiguse hata kimoja ambacho kilikua kwenye mpango, vilevile Mwanamke anaweza ku-negotiate wakati hana hata pesa wakati huo’ – Mauki
woman 2

Mwanamke ni ngumu sana akisema anakwenda Kariakoo kununua kitu flani alafu akaja na kitu hichohicho, utakuta kaongeza hiki na kile wakati Mwanaume akitoka kwenda kununua shati ni rahisi kurudi nalo peke yake bila kuongeza kitu, hii ni ishu ya kuelewa na kufahamu kwamba Wanawake ni watu wa aina gani manake mwisho wa siku bila kuelewana mtagombana kila siku’ -Mauki
Matatizo mengine yanayotajwa ni pamoja na watu kutoka nje ya ndoa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top