Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Wema Sepetu aliyekuwa akimwaga pesa vilivyo kwasasa hana pesa ya kumlipa bali yeye Martin anahangaika kwa issue zake binafsi ili wasilale njaa...
Kadina amesema kuwa yeye na Wema hawana mkataba wa kulipana bali wapo kishkaji zaidi.
"Wema hana pesa ya kunilipa mimi, ninachokifanya ni kuhangaika kutafuta deals
ili mimi na yeye maishani tusilale njaa, maisha ni kutegemeana.
"Kikubwa ninachofanya ni kutafuta dili za
kazi nyingi ili tuweze kupeana pasu kwa pasu lakini si mshahara, nafanya
kazi na bosi wangu Wema kishikaji na kwa kweli nafurahia sana utaratibu
huu"
Martin alisema kuwa kama angekuwa na mkataba na Wema kumlipa kila mwezi
asingemudu na kusema yupo na Wema kwasababu anajua ni mtu wa aina gani
na anafanya kazi zake kwa uhuru bila kubanwa.
Wakati Wema yupo kimapenzi na yule kigogo aliyejulikana kwa
jina la Clement(CK), Wema alidaiwa kumwaga pesa kila kona na wapambe
kibao wa kula bata nao huku akiwa na magari kadhaa lakini kwasasa
anadaiwa kushuka kiuchumi na kubaki na gari moja pekee huku wapambe
aliokuwa nao wakitimua na waliobaki kulalamika hawali bata kama zamani.
Hivi karibuni tena Diamond Platnumz aliye mpenzi wa Wema alisema kuwa Wema ni mtu wa starehe na kuendekeza mashoga wapenda anasa badala ya kutumia fursa na umaarufu mkubwa alionao sasa kufanya kazi zake kwa bidii hususani filamu.
Hivi karibuni tena Diamond Platnumz aliye mpenzi wa Wema alisema kuwa Wema ni mtu wa starehe na kuendekeza mashoga wapenda anasa badala ya kutumia fursa na umaarufu mkubwa alionao sasa kufanya kazi zake kwa bidii hususani filamu.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >