Habari Kali
Loading...

MSHIRIKI BONGO STAR SEARCH MAINA ADAI KUTESWA NA PENZI LA ASLAY

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake kuwa anateswa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.
Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei.
 Akizungumza na gazeti hili, Maina alisema kuwa ameshindwa kabisa kuzizuia hisia zake kwa bwa’mdogo huyo ambaye anatamba na wimbo wa Ya Moto na kusema yupo tayari kwa lolote.
 “Kwa kweli ananinyima usingizi, namfikiria sana. Naanza kazi moja tu ya kumsaka na nikimkamata hatoki hapa kwangu, sitakubali,” alisema Maina.

Staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.
 Pia mwanamuziki huyo aliongeza kuwa, atakapokuwa karibu na Aslay anaamini watatengeneza ‘kapo’ nzuri ambayo italeta ladha pindi watakaposhirikiana kimuziki.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top