Habari Kali
Loading...

ODAMA: SIWEZI KUWASAHAU YATIMA KUANZA SASA MPAKA NTAKAPOKUFA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MWANADADA Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa katika maisha yake hawezi kuwasahau watoto yatima na kuanzia sasa, kila mwaka lazima asherehekee nao katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Mwanadada Jennifer Kyaka ‘Odama’
Odama ambaye hivi karibuni alifanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa na kutoa misaada ya vyakula na vitenge kwa watoto yatima na walezi wao wa kituo cha Maunga kilichopo Kinondoni Dar huku akiangusha sherehe ya nguvu ndani ya ukumbi wa Vijana na kuungana na watoto hao, alisema huu ni wakati wa watoto kufurahi naye.
“Nimeshasherekea sana bethdei baa na marafiki zangu, lakini kwa sasa nimebadilika na ndiyo nimeanza mwaka huu nitakuwa na watoto yatima kila mwaka nikikumbuka siku yangu ya kuzaliwa kwani kama hivi wamejisikia faraja sana kuja kula pamoja na mimi, kucheza muziki pia kuwaona waigizaji mbalimbali imekuwa ni furaha kwao,”alisema Odama.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top