Habari Kali
Loading...

WASTARA: BONGO MUVI TUMECHAFUKA KWA KIKWETE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Neno! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, bila kumung’unya maneno amefunguka kwamba kufuatia mfarakano ndani ya Klabu ya Bongo Movie Unity hadi kufikia hatua ya aliyekuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, kumewachafua kwa viongozi serikalini hasa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’.
Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda,  wikiendi iliyopita jijini Dar, Wastara alisema anawashangaa wasanii wenzake wanaoendekeza majungu kutokana na wivu wa maendeleo na kusababisha klabu hiyo kutosonga mbele badala na kuonekana kituko.
Wastara alisema kuwa jambo hilo lisiporekebishika hali haitakuwa shwari klabuni hapo hata kama atachaguliwa mwenyekiti mwingine.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akizungumza jambo.
“Kuna wakati inabidi wasanii tuambiane ukweli ili mambo yaende sawa,” alisema Wastara akisitiza mshikamano miongoni mwao.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top