Habari Kali
Loading...

WEMA AANGUA KILIO! KISA ETI NI MBWA WAKE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
KITUKO! Beautiful Onyinye, Wema Abraham Sepetu ametoa kioja cha aina yake kwa kuangua kilio baada ya kuambiwa kuwa mbwa wake aliyepotea amepatikana na alipokwenda kumfuata akaambulia patupu.
Mbwa wa staa wa filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu aliyepotea.
Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilitokea juzikati maeneo ya kishua, Masaki jijini Dar, ambapo staa huyo alionekana kukatishwa tamaa kwani alipokuwa anatoka nyumbani aliamini kabisa anakwenda kukabidhiwa mbwa wake aitwaye Vani aliyepotea miezi michache iliyopita.
“Nilipoambiwa amepatikana kwanza nilijenga picha kwamba hatimaye furaha yangu imerejea, nilianza kuvuta picha ya kipindi cha nyuma alipokuwepo nyumbani lakini nilipokwenda nikakuta ndivyo sivyo,” alisema Wema na kuongeza:
Wema Abraham Sepetu akiwa na mbwa wake, Vanny kabla ya kumpoteza.
“Uwiiii jamani Vani wangu ndio sitomuona tena naumia sana kuondokewa na Vani nitamkumbuka daima, sijui amekufa au vipi!” alisikika Wema kiasi cha watu waliokuwepo eneo hilo kumshangaa wakijiuliza ni mbwa tu aliyemsababisha alie kilio mithili ya kuomboleza.
Wema ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa mtu yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake huyo ambaye mwenyewe anasema alikuwa faraja kubwa kwake pindi anapokuwa nyumbani.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top