Habari Kali
Loading...

AMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
KUMBE! Pia mume wa mtu ni sumu! Kikongwe wa miaka 70 aliyejitambulisha kwa jina la Gwerino Ganga amemtwanga risasi mbili mwanaume aitwaye Thadei Mbungu (40) akimtuhumu kuingilia ndoa yake kwa  kuvunja amri ya sita na mama watoto wake.
Thadei Mbungu enzi wa uhai wake.
Tukio hilo la ajabu lilijiri Oktoba 9, mwaka huu mkoani Iringa ambapo mashuhuda wanadai Mbugu, mbali na kukutwa na mke wa mtu siku hiyo, alimjibu mwenye mke majibu yenye kuumiza moyo mbele ya watu waliokuwa wakinywa  pombe katika klabu cha pombe za kienyeji.
Ilidaiwa kuwa, awali  mtuhumiwa huyo wa mauaji alikuwa akimsaka marahemu ambaye  alidai amekuwa akiivuruga ndoa yake.
Akizungumza na mwandishi wa  habari hizi aliyefika eneo la tukio, mtoto  wa kambo wa mtuhumiwa alisema chanzo cha mauaji hayo ni mke wa Mbungu kumtuhumu mama yake (mke wa mtuhumiwa) kuwa ana tabia ya kukopa fedha kwa mumewe (marehemu) hali  iliyosababisha mama huyo  kwenda kumwita baba yake (mtuhumiwa) na kumshitakia maneno hayo.
Mke wa mtuhumiwa.
Baada ya  kufikishiwa malalamiko hayo, mzee huyo alifika  ndani ya klabu hicho na kuanza  kumuuliza marehemu  juu ya uhusiano wake na mkewe, ndipo marehemu  alipotoa lugha chafu  mbele ya watu  kwa mwenye mke  kuwa ni maskini, hana uwezo wa kutunza wake zake wawili hivyo anasaidia kulea.
Kufuatia kauli hiyo, mtoto huyo wa mtuhumiwa alisema baba yake alimtaka marehemu na mkewe  kuondoka klabuni hapo kwa vile wamependana na kwenda kuishi  pamoja lakini marehemu aligoma na kuendelea kutoa lugha yenye kuudhi.
“Baada ya hapo mimi nilitoka  kwenda  kutafuta msaada wa watu kuja kuamua ugomvi huo kwa kumtoa marehemu, lakini ghafla  nilisikia mlio wa risasi, nikarudi mbio na kukuta marehemu akitoka  nje huku akivuja damu baada ya kupigwa risasi ya bega la kushoto,” alisema mtoto huyo.
Gwerino Ganga anayetuhumiwa kwa kosa la mauaji.
“Nilitoka kwenda kutafuta msaada wa gari, sikupata, wakati narudi baba alimuongeza risasi nyingine na kumuua kabisa,” aliongeza.Ikadaiwa kuwa, baada ya kumuua kabisa mgoni wake, mzee huyo alitaka  kumpiga  risasi mkewe lakini wananchi walifika na kumpokonya  bunduki kisha kumtia nguvuni.
Mke wa mtuhumiwa huyo,  Melea Mtwanga alisema hajapata kuwa na uhusiano wa mapenzi na marehemu ila aliuawa kwa sababu ya lugha zake chafu.
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye eneo la tukio.
“Marehemu alikuwa akinidai pesa za mahindi debe kumi na wakati akinidai, ghafla mume wangu alitokea na kumuuliza kwa nini unaongea na mke  wangu, akajibu majibu machafu ndipo alipompiga risasi huku akiwa amekaa kwenye benchi akinywa pombe na wenzake,” alisema mwanamke huyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na mtuhumiwa anashikiliwa huku akisema bunduki hiyo aina ya shot gun ilikuwa ikimilikiwa kihalali.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top