Habari Kali
Loading...

KUNA TATIZO KUBWA KWENYE VYAKULA VYETU!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Miongo mitatu iliyopita (miaka 30), vyakula vingi vilivyopatikana kwa chakula cha binadamu vilikuwa vibichi na vitokanavyo na mazao yaliyovunwa kutokana na kilimo cha asili.
Lakini hivi sasa hali imebadilika, idadi kubwa ya vyakula tunavyokula, iwe nyumbani, migahawani au shuleni, siyo vyakula vibichi na asilia, bali vingi ni vya kutengeneza na kuhifadhiwa kwa muda mrefu, huku vikiwekwa sukari ama chumvi nyingi.
Kutokana na mabadiliko haya ya vyakula, magonjwa hatari nayo yameongezeka. Magonjwa kama kisukari, magonjwa ya moyo, saratani, ini, figo na mengie kama hayo, yana uhusiano wa moja kwa moja na vyakula tunavyokula na namna tunavyovila.
Jambo la kushangaza ni kwamba hata vile vyakula tunavyodhani ni bora vimekuwa siyo bora tena baada ya utengenezaji wake kuwa tofauti na uasili wake. Hii inajumuisha mifugo na mimea ya nafaka pamoja na matunda.
Chukulia kwa mfano samaki. kila mtu anaamini samaki ni miongoni mwa vyakula bora vyenye virutubisho vingi. Lakini mlaji atapata faida za virutubisho hivyo iwapo tu atakula samaki aliyevuliwa katika mazingira asilia na kuliwa bila kuwekewa viungo vingine hatarishi.
Katika pitapita zangu, siku moja nilibahatika kuingia kwenye duka moja la kisasa, maarufu kama SUPER MARKET kununua samaki. Nilikuta samaki wa kila aina, wabichi na wakavu wamehifadhiwa kwenye mfuko wa ‘nylon’.
Kwenye mfuko wa samaki wabichi kulikuwa kumebandikwa lebo ambayo inaonesha lini samaki huyo kahifadhiwa na lini itakuwa mwisho wa kuliwa kwake. Ikiwa ni mwezi huu wa kumi, lebo ilionesha kuwa samaki huyo amewekwa tangu Februari 2014 na anaweza kuendelea kukaa humo na kufaa kuliwa hadi Februari 2016!
Hii ina maana miaka miwili baadaye bado unaweza kumla samaki mbichi aliyehifadhiwa kwenye nylon na kukaa kwenye barafu kwa kipindi chote hicho. Katika akili za kawaida tu, samaki kama huyo atakuwa na virutubisho sawa na samaki aliyevuliwa na kuliwa siku hiyohiyo?
Ukiacha samaki, hivi sasa kuna kuku wa Kizungu ambao ndiyo kitoweo kikuu katika familia nyingi na kwenye hafla mbalimbali za kijamii. Lakini namna kuku hawa wanavyofugwa mpaka wanakuja kuliwa kama kitoweo ni janga lingine.
Naambiwa kuna kampuni moja ya ufugaji wa kuku wa kisasa ipo nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, inafuga kuku wa nyama kwa muda mfupi. Kampuni hiyo ina uwezo wa kufuga kuku wa nyama kwa muda wa siku 30 tu unapata kuku wa kula, kuanzia yai hadi kuku.
Jiulize mwenyewe hapo unakula kuku kweli?
Katika utafiti wake wa hivi karibuni, mwandishi wa masuala ya lishe wa nchini Marekani, Kris Gunnars ameandika kuwa vyakula vya kisasa ndiyo sababu ya watu wengi duniani hivi sasa kusumbuliwa na unene wa kupindukia na wamekuwa wagonjwa sana kuliko wakati mwingine wowote.
Anaendelea kuandika katika utafiti wake huo kuwa kila mahali ambako kuna matumizi makubwa ya vyakula vya kutengeneza, matumizi makubwa ya vyakula vyenye sukari nyingi pamoja na chumvi, magonjwa hatari nayo yapo kwa wingi.
Kwa mantiki hiyo, magonjwa ya moyo, kisukari, magonjwa ya saratani, magonjwa ya ini na figo, yataendelea kuongezeka duniani kila mwaka iwapo hakutakuwa na uchaguzi linapokuja suala la vyakula.
Hivi sasa watu wengi hawana uhuru wala fursa ya kuchagua au kupata vyakula ‘fresh’, vilivyolimwa au kufugwa katika mazingira ya asili. Kila unapokwenda, unakutakana na vyakula feki tu, na hili ni janga!

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top