MAAJABU ya mwaka! Watu wanne wa familia moja, Makoye Kaboje, 42 (baba), Neema Kiwelu, 31 (mke) na watoto wao wawili (majina yapo) walikutwa wakilima shamba huku wakiwa watupu! Nyakati za saa 12 alfajiri katika shamba la familia huku wakiwa uchi.
Tukio hilo la aina yake lilijiri alfajiri ya saa 12, Septemba 2, mwaka huu katika Kijiji cha Bushingwana Kata ya Kalemila Wilaya ya Busega mkoani Simiyu.
Tukio hilo ambalo mpaka sasa bado gumzo, liliwashangaza wengi wakidai kuwa ni mara ya kwanza kusikika katika mkoa huo mpya.Baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wanaamini si mara ya kwanza kwa watuhumiwa hao kulima wakiwa hawana nguo, bali siku ya tukio walichelewa hadi jua linachomoza ndiyo maana walinaswa.
“Unajua wale wana kawaida ya kulima alfajiri ili jua likitoka wanaacha kwa kuvaa nguo na kuendelea kawaida. Sasa siku ile walijikuta wamepitiwa mpaka jua linachomoza wao bado, ndiyo maana walibambwa,” alisema mkazi mmoja bila kutaja jina.
Bwana Makoye Kaboje, akiwa na wanaye.
Uwazi lilipofanya mawasiliano na vyombo vya ulinzi na usalama hususan jeshi la polisi, lilikutana na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, ACP Venance Kimario ambapo alifungukia kila kitu.
Msikie Kamanda Kimario: “Baada ya kukamatwa wakilima watupu shambani, walifikishwa kituoni kwa ajili ya mahojiano ambapo tulibaini kuwa, wote walikuwa wa familia moja na walikuwa wanaongozwa na baba yao.
“Walisema kulima bila nguo ni mbinu mpya ambayo walipewa na ndugu yao mganga wa jadi kwa kuwa kufanya hivyo kutaongeza mazao, lakini hata hivyo, mganga huyo alifariki dunia mwaka jana kwa maradhi.”
Kaimu Kamanda Kimario alisema watuhumiwa wanashikiliwa katika Mahabusu ya Magu mkoani Mwanza kwa madai ya kufanya ushirikina hadharani.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >