Habari Kali
Loading...

BABA: UMEME UMEMBADILI SURA NA MAISHA YA MWANANGU

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Saadam Hussein (14), mkazi wa Chanika nje kidogo ya jiji la Dar es Slaam amelalamikia umeme kubadili sura yake baada ya kuungua vibaya na moto uliosabishwa na hitilafu ya nishati hiyo katika nyumba yao iliyotokea wiki mbili zilizopita.
Kijana anayefahamika kwa jina la Saadam Hussein (14) aliyeungua vibaya kutokana na hitilafu ya umeme.
Akizungumza na gazeti hili katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wodi namba 23 iliyopo katika jengo la Sewahaji, baba wa kijana huyo Hussein Ally  alisema mtoto wake anayelala katika chumba karibu na dukani, alisikia vitu vikidondoka, lakini alipojaribu kuamka, akakutana na moto huo ukiwa umekolea.
Alisema kijana wake alitaka kuokoa mali zilizokuwa zinateketea na moto, lakini moshi na ukali wa moto ulimzidi nguvu na kusabisha kushindwa kuona na hivyo kuungua huku duka lote likiteketea.Alisema pamoja na mali zote zilizokuwepo dukani kuteketea, lakini pia mauzo ya siku 9 yanayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.9 nayo yaliungua.
“Kijana wangu ameungua vibaya sana, hapa ninamuomba Mungu tu maana hata kuongea ni shida,” alisema baba huyo kwa huzuni.Muuguzi aliyekuwa zamu, ambaye alikataa kutaja jina lake kwa vile siyo msemaji wa hospitali hiyo, alisema kijana huyo ameungua vibaya, ingawa bado hawajajua ni kwa asilimia ngapi.
Saadam Hussein akiwa na Baba yake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
“Kuna viwango cha kuungua, siwezi kujua ameungua kwa asilimia ngapi lakini  sehemu kubwa ya mwili wake umeuungua vibaya,” alisema.
Baba wa mtoto huyo alisema kijana wake alikuwa akifanya biashara hiyo kwa lengo la kuanza elimu ya sekondari ya binafsi na kutokana na kuungua kwa duka hilo, amebaki hajui la kufanya, wkani hata gharama za matibabu hospitalini hapo zinamtesa.
Aliwaomba watu wote walioguswa na kuungua kwa mwanaye kumsaidia kwa kutumia namba zake za simu ambazo ni 0786 89 51 14 au 0754 67 62 39.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top