Katika interview yake na Sporah Show diamond Platnumz ameongelea vituvingi sana ambavyo ajawai kuvisema.Sporah alimuuliza Diamond swali hili"Je unamsaidia baba yako,au kuna kitu chochote anachotaka au kuna kitu akipo sawa"Diamond alijibu hivi "Sio kivile.Unajua alikuwa mmoja watu matajiri Tanzania,kwahiyo sijui kama ana pesa au hana,lakini kama hana na anataka kitu nitampa,lakini siwezi kwenda na kumuuliza kama anataka kitu,lakini naweza kumuuliza mama yangu
Sporah alimuuliza Diamond kama baba yake alimkataa kwenye umri mdogo alimrudiha pale aliposikia Diamond ametoka kimuziki na Diamond alifunguka hivi.
"Yes alinirudia na mimi nikamwambiia siwezi kukuchukia baba lakini sitakuwa na mapenzi ambayo mtoto inabidi awenayo kwa baba yake,lakini yeye bado ni baba yangu,na ataendelea kuwa baba yangu,lakini ukija kwa mama yaangu ni mama yangu uwezi kumlinganisha na baba yangu,ni tofauti kabisaSporah aliendelea kumuukiza ni uhusiano gani hasa unaoendelea baina yeye na baba yake
"Ni wa kawaida.Natakaa na mama yangu siwezi kukaa mda mrefu bila kuwasiliana na mama yangu lakini naweza kukaa hata mwezi bila kuwasiliana na baba yangu,najaribu mara nyingine lakini siwezi sababu sijazoea
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >