Ni staa wa bongofleva ambae hits zilizompa headlines ni pamoja na ‘Tabasamu‘ aliyoshirikishwa na Mr. Blue October 11 2014 amefunga ndoa kwenye kanisa la Word Alive Sinza Mori Dar es salaam….
Yafuatayo ni mambo matano kuhusu Steve na mke wake Easter.
1. Steve ana umri wa miaka 28 na mke wake Easter ana umri wa miaka 25.
2. Wawili hawa walianza kuwa pamoja kwenye uhusiano wa kimapenzi toka wakiwa High School miaka nane iliyopita shuleni St. Mathew kisha walikwenda wote chuo IFM na kusoma pamoja.
3. Steve amemsifia sana mke wake kwa kuwa mvumilivu na kuhimili vitu vingi alivyomkosea kwenye maisha ya ujana ikiwemo kutoka nje ya uhusiano wa kimapenzi.
4. Amesema hajachelewa kuoa wala hajawahi kuoa, yaani huu ndio umekua muda muafaka kwake kufanya maamuzi haya kwa sababu anaamini ndoa inatakiwa uanzekuenjoy ukiwa na umri kama huu.
5. Steven amekiri kumekuwepo na time za huzuni na furaha kwenye uhusiano wao wa kimapenzi, kipindi kirefu walichowahi kukaa bila kushemeshana ni zaidi ya wiki moja…. wamekua wakigombana lakini Steve hajawahi kutamka neno ‘It’s over’
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >