MAASKOFU wa Kanisa la Katoliki juzi waligoma kupitisha mabadiliko
makubwa ya kihistoria kuhusu msimamo wao mkali dhidi ya masuala ya
ushoga, utoaji mimba na wanandoa waliotalikiana.
Uamuzi huo,ulifichua uwapo wa pengo kubwa ndani ya kanisa hilo mwishoni wa mkutano huo wa wiki mbili.
Maaskofu wa kanisa hilo walikuwa wamekutana kujadili jinsi mafunzo ya
kanisa hilo yanavyoweza kufanyiwa mageuzi ili kuambatana na maisha ya
kisasa.
Hiyo ni pamoja na kukaribisha ‘zawadi na sifa’ za mashoga Wakatoliki
na mwito kwa mapadri kuepuka lugha au tabia yoyote inayoweza
kuwanyanyapaa Wakatoliki waliotalikiana.
Wakati lugha kuhusu mashoga ikiwa imelegezwa wakati wa siku za mwisho
za majadiliano hayo, waraka wa mwisho uliopendekezwa ulishindwa kupata
theluthi mbili ya kura zilizohitajika.
Hata hivyo,maaskofu walisifu upendo wa kweli katika ndoa ya kawaida, wakiita moja ya miujiza mizuri zaidi na inayokubalika.
Kwa kushindwa kukubaliana kwa kauli moja, kunamaanisha kushindwa kwa
kauli za kipatanishi za Papa Francis tangu achaguliwe upapa zaidi ya
mwaka mmoja uliopita.
Mwaka jana, Papa Francis aliwafurahisha wanaharakati za ushoga wakati alipoonekana kulegeza msimamo wake.
Alipoulizwa swali iwapo mashoga wanapaswa kuwa Wakristo wazuri, alijibu kwa kuuliza, ‘Mimi ni nani hata nihukumu?
Hata hivyo, baada ya viongozi wa Katoliki kupiga kura hiyo, Papa
Francis aliwaonya maaskofu dhidi ya ‘ukali lugha’ wakati wa kujadili
masuala tete yanayolikabili kanisa hilo.
Msemaji wa Vatican, Federico Lombardi alipoulizwa kuhusu
kilichofikiwa katika mkutano huo, alisema waraka uliopo ni mwongozo kwa
maaskofu katika utumishi wao na unaweza kujadiliwa tena mwaka ujao.
“Si muhimu kwenda mbali zaidi kuuchambua. Kifupi ni kwamba maaskofu wa sinodi hawakufikia uamuzi wa mwisho kuhusu waraka huo.”
Hatua ya maaskofu kukataa kufanya mageuzi imepokewa kwa ghadhabu na
makundi ya kikatoliki yanayopigania haki za wapenzi wa jinsia moja.
Hata hivyo, kundi la kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja nchini
Marekani la New Ways Ministry, limesema hatua ya maskofu hao kuamua
kujadili suala hilo ni matumaini ya siku za usoni.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >